MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA BIASHARA CHA IFM KWA MWAKA WA MASOMO 2014/15
UNDERGRADUATE ADMISSION FOR 2014/2015
CLICK HERE TO SEE THE NAMES
Source: www.ifm.ac.tz
RESEARCH AD
CLEARING AND FORWADING
TUKO WANGAPI
Friday, September 26, 2014
MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAAM (UDSM) KWA MWAKA WA MASOMO 2014/15
UNDERGRADUATE ADMISSION FOR 2014/2015
CLICK HERE TO SEE THE NAMES
Source: www.udsm.ac.tz
UNDERGRADUATE ADMISSION FOR 2014/2015
The following applicants have been
selected to join various undergraduate degree programmes for the 2014/2015
academic year.
The selected applicants should
report at the Mwl . J.K. Nyerere Mlimani CampusMon Saturday 11th October 2014 for
the orientation week which will start on
Monday 13th October 2014. Applicants selected for admission into Dar es Salaam
University College of Education (DUCE)
and Mkwawa University College of Education (MUCE) should report directly to the
college's campuses in Chang'ombe and Iringa respectively on the same dates. Joining
instructions and admission letters should be collected at the University
campuses whereone is admitted. Joining instructions and other important
information can also be downloaded from the University website at www.udsm.ac.tz
CLICK HERE TO SEE THE NAMES
Source: www.udsm.ac.tz
Monday, September 15, 2014
TCU YATOA TANGAZO LA WANAFUNZI AMBAO HAWAKUCHAGULIWA KATIKA AWAMU YA KWANZA KUFANYA UPYA USAHILI
TCU hereby informs applicants who
could not be selected during the first round of application that the Central Admission
System (CAS) is now open for them to re-apply. Also new applicants who did not
apply during the first round of application are invited to apply. A list of
applicants who were not selected and a list of programmes with slots are
available on TCU website. Some of the reasons for not been selected including among
others wrong choices, incomplete applications and competition.
TCU YATOA MAJINA YA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA WALIOOMBA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU LAKINI HAWAKUCHAGULIWA KUTOKANA NA USHINDANI KUWA MKALI
LIST OF FORM SIX APPLICANTS NOT SELECTED IN FIRST ROUND
Kusoma majina ya wanafunzi hao tafadhali bonyeza hapo chini
BONYEZA HAPA / CLICK HERE
Saturday, November 16, 2013
MZUMBE GRADUATION
Graduation
Mzumbe University will hold its 12th graduation ceremonies as follows:- Main Campus - Friday, 6th December, 2013 starting at 10.00 am.
- Mbeya Campus College - Friday 13th December, 2013 from 1.00pm.
- Dar es Salaam Campus College Friday, 20th December, 2013 at Diamond Jubilee Hall in Dar es Salaam starting at 2.00 pm.
Source:mzumbe.ac.tz
NAFASI ZA SKOLASHIPU NCHINI PAKISTAN (MASTERS DEGREE)
Serikali ya Pakistani inatangaza nafasi za Ufadhili wa Masomo ya Chuo Kikuu katika Ngazi ya MASTERS kwa mwaka wa masomo 2014.
Waombaji wa nafasi hizo wanatakiwa kuingia katika Mtandao ufuatao ili kupata Fomu za maombi, kuzijaza, kuzi-scan na hatimae kuzituma PAKISTANI kabla ya tarehe 25 Novemba, 2013.
www.comsats.edu.pk
Ikumbukwe kuwa mwombaji atatakiwa kuchangia sehemu ya gharama ya masomo kama inavyoelekezwa katika matangazo yanayopatikana katika website iliyotajwa hapo juu.
Source:moe.go.tz Waombaji wa nafasi hizo wanatakiwa kuingia katika Mtandao ufuatao ili kupata Fomu za maombi, kuzijaza, kuzi-scan na hatimae kuzituma PAKISTANI kabla ya tarehe 25 Novemba, 2013.
www.comsats.edu.pk
Ikumbukwe kuwa mwombaji atatakiwa kuchangia sehemu ya gharama ya masomo kama inavyoelekezwa katika matangazo yanayopatikana katika website iliyotajwa hapo juu.
Tuesday, November 12, 2013
| KOREAN GOVERNMENT SCHOLARSHIP PROGRAM FOR INTERNATIONAL STUDENTS |
KOREAN GOVERNMENT SCHOLARSHIP PROGRAM FOR INTERNATIONAL STUDENTS FOR UNDERGRADUATE DEGREE TENABLE IN KOREA FOR THE YEAR 2014
Applications are invited from qualified Tanzanians for undergraduate scholarships tenable in Korea for the year 2014.
Wednesday, November 6, 2013
SERIKALI YAWEWESEKA NA ''ZIRO'' YAKE
![]() |
| Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mh. William Lukuvi |
KATIKA kile kinachoonekana kuwa ni kuweweseka kwa serikali
katika sakata la kufuta daraja sifuri katika mitihani ya kidato cha nne
na sita, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na
Bunge), William Lukuvi, jana alilazimika kumkana Katibu Mkuu wa Wizara
ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome.
Lukuvi alisema taarifa aliyoitoa Mchome wiki iliyopita kuwa serikali
imefuta daraja sifuri kwa kidato cha nne na sita haikuwa ya serikali,
bali ile iliyotolewa juzi na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Ufundi, Philip Mulugo, kuwa haijafutwa ndiyo sahihi.
Lukuvi alitoa kauli hiyo mara baada ya Mbunge wa Kawe, Halima Mdee
(CHADEMA), kuomba mwongozo wa Spika akitaka kujua hatua
watakazochukuliwa mawaziri wa wizara hiyo kwa kulidanganya Bunge na
umma.
Tuesday, November 5, 2013
Maaskofu wapinga alama mpya za mitihani
Baraza
la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (Tec), ‘limeuponda’ uamuzi wa
serikali wa kushusha viwango vya ufaulu kwa mitihani ya kidato cha nne
na sita, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni upungufu na ishara ya
kuporomoka kwa siasa na ni kipimo kitakachoitumbukiza elimu shimoni.
Kauli hiyo ya Tec, imekuja wakati serikali imetangaza rasmi kuanza kutumika kwa mfumo mpya wa usahihishaji wa mitihani na upangaji wa viwango vya madaraja ya ufaulu, uamuzi ambao hata hivyo, umelifuta daraja sifuri, kuanzia mwakani.
Rais wa baraza hilo, Askofu Tarcius Ngalalekumtwa, akizungumza katika mahafali ya sita ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu, Mwenge (Mwuce), kilichopo Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, alisema kitendo hicho kinaishangaza dunia kutokana na wenye dhamana kubadili maneno katika kushughulikia elimu na kwamba hali siyo nzuri katika sekta hiyo kwa sababu 'hatutaki kutafuta ni wapi tulipojikwaa na kutufikisha hapo tulipo.'
Mabadiliko hayo na utaratibu wa kuimarisha mfumo huo wa ufaulu, utaanza kutumika katika kupanga matokeo ya kidato cha nne na sita kwa
mwaka 2013/2014, wakati umma ukiwa bado unahoji kilicho nyuma ya pazia juu ya matokeo ya aibu ya mwaka jana ya kidato cha nne baada ya asilimia 60 ya watahiniwa wote kupata daraja sifuri.
Kauli hiyo ya Tec, imekuja wakati serikali imetangaza rasmi kuanza kutumika kwa mfumo mpya wa usahihishaji wa mitihani na upangaji wa viwango vya madaraja ya ufaulu, uamuzi ambao hata hivyo, umelifuta daraja sifuri, kuanzia mwakani.
Rais wa baraza hilo, Askofu Tarcius Ngalalekumtwa, akizungumza katika mahafali ya sita ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu, Mwenge (Mwuce), kilichopo Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, alisema kitendo hicho kinaishangaza dunia kutokana na wenye dhamana kubadili maneno katika kushughulikia elimu na kwamba hali siyo nzuri katika sekta hiyo kwa sababu 'hatutaki kutafuta ni wapi tulipojikwaa na kutufikisha hapo tulipo.'
Mabadiliko hayo na utaratibu wa kuimarisha mfumo huo wa ufaulu, utaanza kutumika katika kupanga matokeo ya kidato cha nne na sita kwa
mwaka 2013/2014, wakati umma ukiwa bado unahoji kilicho nyuma ya pazia juu ya matokeo ya aibu ya mwaka jana ya kidato cha nne baada ya asilimia 60 ya watahiniwa wote kupata daraja sifuri.
LOWASSA: MPANGO WA MATOKEO MAKUBWA SASA HAUNA MENO
Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amesema ana shaka kama Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Result Now), utafanikiwa kutokana na Kitengo cha Utekelezaji, Ufuatiliaji na Tathmini ya Miradi ya Maendeleo kilicho chini ya Ofisi ya Rais (PDB) kukosa meno.
Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amesema ana shaka kama Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Result Now), utafanikiwa kutokana na Kitengo cha Utekelezaji, Ufuatiliaji na Tathmini ya Miradi ya Maendeleo kilicho chini ya Ofisi ya Rais (PDB) kukosa meno.
Akichangia mjadala wa hoja ya Mapendekezo ya
Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2014/2015, Lowassa alisema tatizo
kubwa linaloikabili nchi ni viongozi kushindwa kutekeleza mipango
mbalimbali ya maendeleo.
“Tatizo la nchi hii mnazungumza mambo mengi lakini
hakuna utekelezaji,” alisema Lowassa wakati akichangia mjadala huo
uliowasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu),
Stephen Wassira, wiki iliyopita.
Chanzo: Mwananchi
Chanzo: Mwananchi
Saturday, November 2, 2013
WASOMI WADAI MABADILIKO MITIHANI YA SEKONDARI NI SIASA TU
Siku moja baada ya Serikali kutangaza kupunguza viwango vya ufaulu kwa mtihani ya kidato cha nne na sita, baadhi ya wasomi na wadau wa elimu wameponda uamuzi huo na kusema una malengo ya kisiasa.
Baadhi ya wadau hao wakizungumza na gazeti hili
jana, walisema Tanzania imeweka rekodi kwa nchi za Afrika kwa kuwa na
kiwango kidogo sana cha ufaulu cha alama F kuanzia 0 mpaka 19.
Walisema, Serikali imechukua uamuzi huo kisiasa
ili kuhakikisha kuwa, wanatimiza lengo la Mpango wa Maendeleo Makubwa
Sasa (BRN), ambalo ni kuhakikisha matokeo ya ufaulu kwa Mtihani wa
Kidato cha Nne mwaka huu yanafikia asilimia 60 kutoka 33 ya mwaka jana.
Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam, Profesa Herme Mosha alisema kuwa kilichofanywa na Serikali ni
kupanua wigo wa watu kufaulu.
WARIOBA ATAKA ELIMU CHUO KIKUU IBORESHWE
Rais wa Umoja wa waliokuwa wanafunzi wa Chuo Kkuu cha Dar es Salaam, Jaji Mstaafu Joseph Warioba amewataka wahitimu wa chuo hicho kuungana kukisaidia kuboresha miundombinu na ubora wa elimu.
Jaji Warioba, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba alisema hayo juzi wakati umoja huo walipokutana
kujadiliana jinsi ya kuboresha chuo hicho kwa kutoa michango yao pasipo
kusubiri jukumu hilo kufanywa na Serikali.
Warioba alisema hali ya chuo ni ngumu kutokana na
kuchakaa kwa miundombinu mbalimbali, uhaba wa walimu na vitendea kazi,
jambo ambalo aliwataka kuunganisha nguvu kusaidia mabadiliko.
SERIKALI KUSOMESHA BURE WANAFUNZI WA UDAKTARI
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ipo katika mchakato wa kuhakisha wanafunzi wote wanaochukua masomo ya Shahada ya Kwanza ya Udaktari kwenye vyuo binafsi na mashirika ya kidini wanagharamiwa bure na Serikali. Hayo yalibainishwa jana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hussein Mwinyi,alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalumu, Rita Mlaki(CCM).
Mbunge huyo alisema Jiji la Dar es Salaam lina
takriban watu milioni tano na wote hukimbilia kupata huduma katika
Hospitali za Amana, Mwananyamala na Temeke.
Alihoji ni lini Serikali itawalipia ada wanafunzi
wote wanaochukua shahada ya udaktari hata wale wanaosoma katika vyuo
binafsi ikiwamo Chuo cha IMTU ili kuongeza idadi ya madaktari.
Thursday, October 31, 2013
Tuesday, October 29, 2013
Friday, October 25, 2013
NOTICE TO LOAN APPLICANTS TO CORRECT NECESSARY INFORMATION IN THEIR APPLICATION FORMS
During the exercise of processing 2013/2014 loan application forms, the Higher Education Students’ Loans Board came across 6,364
loan applications which were missing some vital information for further
loans processing. Six problems were identified as follows:
· No Applicant’s Signature,
· No Birth Certificate,
· No Guarantor’s Photo,
· No Guarantor’s Signature
· Not Signed by Local Authority
· Not Signed by the Magistrate
For that reason, the Board informed concerned Loan
applicants that such incomplete applications would have not been
considered until the missing information was provided. However, until
the deadline only 3,151 loan applicants had corrected their forms in time.
The Board is hereby once again giving a second chance to the 1,107 first year students loan applicants who have been admitted to priority programmes in various Higher Learning Institutions but did not correct their forms in the earlier provided time (from 16th August to 30th August) to do so within the next 14 days from 24th October to 6th November 2013. These are students who are admitted into the following Priority programmes:
MADA ZITAKAZOFUNDISHWA NA KUTAHINIWA MWAKA WA KWANZA WA MASOMO KWA WANACHUO WA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA KUANZIA MWAKA 2013/2014
Ili kutekeleza Waraka wa Elimu namba 3 wa mwaka 2013, Wizara
imeainisha mada zitakazofundishwa na kutahiniwa mwaka wa kwanza wa
masomo kwa wanachuo wa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada.
Kila mkuu wa Chuo, Wakufunzi pamoja na Wanachuo wote wa mwaka wa kwanza
wa kila Chuo wanaelekezwa kuzingatia maelekezo hayo ili kufanikisha
utekelezaji wa Waraka husika.
Monday, October 21, 2013
| WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NYONGEZA MWAKA 2013/2014 |
MAELEKEZO MUHIMU:
Wanafunzi waliochaguliwa Orodha ya nyongeza kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka wa masomo 2013/2014 wanatakiwa kuripoti katika Vyuo walivyopangiwa kuanzia Jumapili tarehe 22/09/2013 hadi 29/09/2013.
Fomu ya maelekezo (joining instruction) zinapatikana kwenye tovuti hii kwa kubofya hapo chini.
Wanafunzi wanatakiwa kufika Vyuoni wakiwa na mahitaji yafuatayo:
1. Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania kidato cha NNE;
2. Ada ya muhula wa kwanza sh. 100,000/= au ya mwaka sh. 200,000/=;
3. Sare ya Chuo kulingana na maelekezo ya Chuo husika; na
4. Fedha za tahadhari chuoni na matumizi binafsi.
Mkuu wa Chuo anatakiwa kuhakikisha wanafunzi wanaosajiliwa Chuoni ni wale waliopo kwenye orodha hii tu na SI vinginevyo.
Usajili wa kujiunga na Vyuo utafungwa tarehe 29/09/2013 saa 12.00 jioni
GRADE A 2013 Nyongeza
| WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA NYONGEZA MWAKA 2013/2014 |
MAELEKEZO MUHIMU:
Wanafunzi waliochaguliwa Orodha ya nyongeza kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka wa masomo 2013/2014 wanatakiwa kuripoti katika Vyuo walivyopangiwa kuanzia Jumapili tarehe 22/09/2013 hadi 29/09/2013.
Wanafunzi wanatakiwa kufika Vyuoni wakiwa na mahitaji yafuatayo:
1. Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania kidato cha NNE na cha SITA;
2. Ada ya muhula wa kwanza sh. 100,000/= au ya mwaka sh. 200,000/=;
3. Sare ya Chuo kulingana na maelekezo ya Chuo husika; na
4. Fedha za tahadhari chuoni na matumizi binafsi.
Mkuu wa Chuo anatakiwa kuhakikisha wanafunzi wanaosajiliwa Chuoni ni wale waliopo kwenye orodha hii tu na SI vinginevyo.
Usajili wa kujiunga na Vyuo utafungwa tarehe 29/09/2013 saa 12.00 jioni
| | Print | |
WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUPATA SKOLASHIPU KWA MPANGO WA KUBADILISHANA
WANAFUNZI KATI YA SERIKALI YA TANZANIA NA YA MSUMBIJI MWAKA 2014
Wanafunzi 51 wa Kitanzania wamechaguliwa kujiunga na masomo
mbalimbali nchini Msumbiji katika ngazi ya Shahada ya Kwanza kupitia
Mpango wa Kubadilishana Wanafunzi kati ya Serikali ya Tanzania na ya
Msumbiji (Tanzania – Mozambique Students Exchange Programme – TAMOSE).
Masomo yanatarajiwa kuanza juma la Kwanza la Januari, 2014.
Wanafunzi hao ambao orodha yao na masomo watakayosoma vimeambatishwa, wanatakiwa kufika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Idara ya Elimu ya Juu, Chumba Namba 28 kwa ajili ya maelekezo na maandalizi ya safari.
Wanafunzi hao wafike Wizarani kuanzia tarehe 30 Septemba hadi 14 Oktoba 2013 kuanzia Saa 3.00 asubuhi hadi saa 9:30 mchana katika siku za kazi.
Wanafunzi wanashauriwa kufika na nyaraka za kuombea pasi ya kusafiria nje ya nchi – passport (kwa wale ambao hawana). Nyaraka hizo ni pamoja na Cheti cha Kuzaliwa, Picha 5 za passport size zenye rangi ya buluu ya bahari pamoja na gharama za kuombea hati ya kusafiria nje ya nchi Wizara ya Mambo ya Ndani. Kwa wenye passport wanatakiwa kuja nazo.
Wanafunzi hao ambao orodha yao na masomo watakayosoma vimeambatishwa, wanatakiwa kufika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Idara ya Elimu ya Juu, Chumba Namba 28 kwa ajili ya maelekezo na maandalizi ya safari.
Wanafunzi hao wafike Wizarani kuanzia tarehe 30 Septemba hadi 14 Oktoba 2013 kuanzia Saa 3.00 asubuhi hadi saa 9:30 mchana katika siku za kazi.
Wanafunzi wanashauriwa kufika na nyaraka za kuombea pasi ya kusafiria nje ya nchi – passport (kwa wale ambao hawana). Nyaraka hizo ni pamoja na Cheti cha Kuzaliwa, Picha 5 za passport size zenye rangi ya buluu ya bahari pamoja na gharama za kuombea hati ya kusafiria nje ya nchi Wizara ya Mambo ya Ndani. Kwa wenye passport wanatakiwa kuja nazo.
MAELEKEZO MUHIMU
Wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo haya wanatakiwa kuripoti Chuo cha Ualimu Morogoro kuanzia tarehe 18/10/2013 hadi 20/10/2013.
Wanafunzi wanatakiwa kufika chuoni wakiwa na mahitaji yafuatayo:
- Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania vya Kidato cha NNE na SITA;
- Ada ya muhula wa kwanza sh. 100,000/= ;
- Sare ya Chuo (Suruali/sketi: koti na tai nyeusi; shati ya mikono mirefu ya rangi ya bluu bahari); na
- Fedha za tahadhari chuoni na matumizi binafsi.
Ili kutekeleza Waraka wa Elimu namba 3 wa mwaka 2013, Wizara imeainisha mada zitakazofundishwa na kutahiniwa mwaka wa kwanza wa masomo kwa wanachuo wa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada. Kila mkuu wa Chuo, Wakufunzi pamoja na Wanachuo wote wa mwaka wa kwanza wa kila Chuo wanaelekezwa kuzingatia maelekezo hayo ili kufanikisha utekelezaji wa Waraka husika.
NOTICE TO SUCCESSFUL LOAN APPLICANTS FOR 2013/2014 ACADEMIC YEAR
Higher Education Students’ Loans Board
P. O. Box 76068
The Higher Education Students’ Loans Board is hereby announcing names
of successful first time loan applicants for 2013/2014 Academic Year
who applied and were eligible for student loans.
The list includes the Institution to which the student is admitted to
and the amounts of loans allocated to a particular student in all or
part of the loanable items as per Guidelines and Criteria for Issuance
of Loans and Grants for 2013/2014 Academic Year.
Loan applicants can access their loan status by keying in their Form Four Index Numbers to view the results.
Loan applicants are reminded that the loan money will be sent to
their respective institutions where they will be required to sign to
acknowledge receipt of the loans, after registration processes.
Issued by:
The Executive DirectorHigher Education Students’ Loans Board
P. O. Box 76068
Thursday, October 25, 2012
ISIKILIZE SEHEMU YA HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU TANZANIA KUHUSU MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZIMBABWE
VIKOROMBWEZO NI KUTOKA XXL YA CLOUDS FM
BOFYA HAPA USIKILIZE HOTUBA HIYO
VIKOROMBWEZO NI KUTOKA XXL YA CLOUDS FM
BOFYA HAPA USIKILIZE HOTUBA HIYO
Saturday, October 6, 2012
KWA WALE WANAOTAKA KUKATA RUFAA (APPEAL) YA MKOPO WA ELIMU YA JUU BODI IMETOA TANGAZO LIFUATALO...
| APPEAL NOTICE |
|
As it was published earlier in the Guideline for
Online Loan Application System (OLAS) and the procedure for appeal
application, that students who would not be satisfied with the loans
amount allocated to them may appeal at the start of the Academic Year.
The Higher Education Students’ Loans Board (HESLB)
is hereby informing all applicants who are not satisfied with the
Awarded Loan Amounts to appeal to the Board as stipulated in the HESLB
Regulations of 2008 and as clarified below:-
(i)All appellants must
complete the relevant Online Appeal Forms, make a printout of the same
and attach thereto the necessary supporting documents. The online
Appeals forms are accessible at http://olas.heslb.go.tz
(ii) All appeals will attract a non-refundable fee of Tzs. 5,000/=
per appeal which should be paid through M-Pesa and the Transaction ID
generated should be input into the Online System prior to appealing
online, otherwise the appeal will not be considered.
(iii)After successful
completion of the Online Appeal Form, the appellant must download the
form and attach the necessary documents and hand over to the respective
Higher Education Institution Loan Desk Officer.
(iv)Appeals must be routed through the respective Loan Desk Officers who will collect all appeal forms from his/her respective Institution and submit them under a covering letter
to the Board. The Board will not accept any appeal that will be
submitted directly by students to the Board. The deadline for
submission of appeals is 90 (ninety) days from the commencement of the 2012/2013 Academic Year.
ISSUED BY:
THE EXECUTIVE DIRECTOR
HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD
|
Wednesday, September 26, 2012
ADA ZA MASOMO KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM HII HAPA
BOFYA HAPO CHINI KUJIONEA ADA ZA MASOMO KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM PAMOJA NA MATANGAZO MENGINE
THE TUITION FEES FOR TANZANIAN NATIONALS – 2012/2013
Source: www.udsm.ac.tz
Tuesday, September 25, 2012
MAJINA YA WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI (SECOND SELECTION) KUJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCoBS)
BOFYA hapo chini kuona majina ya waliochaguliwa pamoja na Joining Instruction Form
DEGREE STUDENTS' SECOND ROUND SELECTION FROM TCU FOR ACADEMIC YEAR 2012/13
JOINING INSTRUCTION 2012/13
Source: www.moccobs.ac.tz
Monday, September 24, 2012
WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY (T.I.A) NGAZI YA CHETI, STASHAHADA NA SHAHADA AWAMU YA PILI (SECOND SELECTION)
BOFYA hapo chini kuona majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo cha uhasibu T.I.A kwa awmu ya pili (sacond selection) mwaka wa masomo 2012/2013
SECOND SELECTION BACHELOR DEGREE, DIPLOMA, AND CERTIFICATE ADMISSION FOR 2012/2013
Source: www.tia.ac.tz
Friday, September 21, 2012
MATANGAZO MUHIMU KWA WALE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KUKUU IFM
1. JOINING INSTRUCTIONS FOR UNDERGRADUATE STUDENTS 2012/2013
2. JOINING INSTRUCTION FOR POSTGRADUATE STUDENTS 2012/2013
3. ACKNOWLEDGEMENT OF ADMISSION OFFER
Source:www.ifm.ac.tz
MATANGAZO MUHIMU KWA WALE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KUKUU MZUMBE
1.FIRST YEAR JOINING INSTRUCTION (MAIN CAMPUS)
2.FIRST YEAR JOINING INSTRUCTION (MBEYA CAMPUS)
Source: www.mzumbe.ac.tz
MATANGAZO MUHIMU SANA KWA WALE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KUKUU CHA DSM (UDSM)
1. ADMISSIONS 2012/13 ADDITIONAL DIRECT APPLICANTS FROM TCU
2. FIRST YEAR STUDENTS’ REGISTRATION FORM “A” – DEGREE/NON-DEGREE PROGRAMMES
3. JOINING INSTRUCTION FORM FOR FRESHERS'(FIRST YEARS)
4. LIST OF SECOND ROUND OF ADMISSION
5. MEDICAL EXAMINATION FORM
6. ADMISSIONS 2012/2013 FOREIGN CERTIFICATES AND EQUIVALENT
Source: www.udsm.ac.tz
BODI WATOA NJIA RAHISI ZAIDI YA KUTAFUTA JINA KWA WALIOPATA MKOPO
1. Uingiapo utapaswa kuingiza aidha Index Namba yako au Jina mojawapo kati ya unayotumia katika kiboksi cha kwanza kilichoandikwa 'Enter Keyword here'
2. Kisha ingiza maneno ya siri utakayoyaona sehemu ya mbele ya kiboksi cha pili kilichoandikwa 'Enter Security Code as it appears below'
3. Mwisho bonyeza sehemu ya chini iliyoandikwa SEARCH na moja kwa moja utaweza kujionea jina lako
BOFYA HAPA KUINGIA KWENYE NJIA YA KUANGALIA JINA LAKO KIURAHISI ZAIDI
Source: www.heslb.go.tz
Subscribe to:
Posts (Atom)




.jpg)

