NAFASI ZA SKOLASHIPU NCHINI PAKISTAN (MASTERS DEGREE)
Serikali ya Pakistani inatangaza nafasi za Ufadhili wa Masomo ya Chuo Kikuu katika Ngazi ya MASTERS kwa mwaka wa masomo 2014.
Waombaji wa nafasi hizo wanatakiwa kuingia katika Mtandao ufuatao
ili kupata Fomu za maombi, kuzijaza, kuzi-scan na hatimae kuzituma
PAKISTANI kabla ya tarehe 25 Novemba, 2013. www.comsats.edu.pk Ikumbukwe kuwa mwombaji atatakiwa kuchangia sehemu ya gharama ya masomo
kama inavyoelekezwa katika matangazo yanayopatikana katika website
iliyotajwa hapo juu.