WIZARA YA ELIMU YATOA ORODHA
YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA MWAKA WA
MASOMO 2012/2013
MAELEKEZO MUHIMU KWA MWOMBAJI
Waombaji waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya Stashahada katika mwaka wa masomo 2012/13 wanatakiwa kuripoti katika vyuo walivyopangiwa tarehe 12/08/2012.
Kwa wale watakaochelewa kupata barua za maelekezo (Joining instruction) kutoka vyuoni wanatakiwa waripoti vyuoni katika tarehe iliyopangwa bila kukosa.
Wanafunzi wanatakiwa kufika vyuoni wakiwa na mahitaji yafuatayo:
1.Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania Kidato cha NNE na SITA kulingana na kozi husika.
2. Ada kwa mwaka ni shilingi 200,000/=. (Muhula wa kwanza shilingi 100,000/= na muhula wa pili shilingi 100,000/=).
3.Sare ya Chuo kulingana na maelekezo ya chuo husika na
4. Fedha kwa matumizi binafsi.
Aidha, kila Mkuu wa Chuo anatakiwa kuhakikisha wanafunzi wanaosajiliwa chuoni ni wale waliopo kwenye orodha hii tu na si vinginevyo

BONYEZA HAPA KUPATA ORODHA YA MAJINA KWA NGAZI YA STASHAHADA
BONYEZA HAPA KUPATA OROTHA YA MAJINA KWA NGAZI YA CHETI

Source: www.moe.go.tz