RESEARCH AD

RESEARCH AD

CLEARING AND FORWADING

CLEARING AND FORWADING

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

THE GUARDIAN LTD

Michezo

WACHEZAJI WA MAN UTD WAPOTEZEA KUENDESHA MAGARI YA WADHAMINI WAO KAMPUNI YA CHERVOLET

Wachezaji wa Man Utd wameendelea kwenda mazoezini wakiendesha magari yao ya aina mbalimbali na kuacha kuendesha magari ya bure 15 waliyopewa na wadhamni wao kampuni ya Chervolet

Robin Van Parsie akiingia mazoezini na gari yake aina ya Porsche 911
Meneja msaidizi Ryan Giggs akiingia na Range Rover

Wayne Rooney akiingia na gari yake aina ya 'Overfinch' Range Rove

Fellaini akiingia na gari yake aina ya Mercedes
Soure: dailymail.co.uk


STEVEN GERRARD: KUNYAKUA UBINGWA WA LIGI KUU, HUO UTAKUWA MUUJIZA

Steven Gerrard

Nahodha wa Liverpool Steven Gerrard amesema kuwa itakuwa ni muujiza kwa klabu yake kushinda taji la ligi kuu kabla ya yeye kustaafu soka.
Liverpool ambao walishinda kwa mara ya mwisho taji hilo mwaka 1990 wanashikilia nafasi ya 14 katika msimamo wa ligi baada ya kuanza vibaya msimu huu.
"Itakuwa muujiza kama tutashinda taji la ligi kabla sijastaafu soka" Steven Gerrard,32, aliliambia gazeti la The Sunday Times la Uingereza."Nasema hivyo kutokana na umri wangu na hali halisi ya wapinzani wetu.Ligim imekuwa ngumu sana kushinda kwa sasa.
Gerard anaamini kwamba ujio wa timu kama Manchester City ,ambao walishinda taji hilo msimu uliopita inafanya kuona ndito yake kama kitu ambacho hakiwezekani kutimia.
Alisema, ''Sio tu [Manchester] United na Arsenal kwasasa lakini pia [Manchester] City, Chelsea na Tottenham. Newcastle wanakuja juu pia.
Tulishika nafasi ya nane msimu uliopita.Kama msimu huu mambo yakienda vizuri, tukawa na bahati nzuri, tukajitahidi, tuna asilimia 50 kwa 50 ya kumaliza katika nafasi nne za juu.Hilo linawezekana."
Gerrard ambaye alizaliwa Merseyside, alijiunga na chuo cha soka cha Liverpool akiwa na umri wa miaka tisa na alisaini mkataba wa kuichezea timu hiyo mwaka 1997.

THIERY HENRY ABATIZWA KUWA "MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU YA MAREKANI''...NI BAADA YA KUIPAISHA TIMU YAKE YA NEW YORK RED BULLS NA KUSHINDA 4-1


Thiery Henry akishangilia goli
























THIERRY HENRY anatajwa kuwa mchezaji bora Marekani mara baada ya kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa magoli 4-1 dhidi ya Toronto.

Mfungaji huyo bora wa zamani wa Arsenal mwenye miaka 35 alifunga goli moja na kusaidia moja kwa moja ufungaji wa magoli mengine matatu.Henry ameshafunga mabao 14 katika michezo 21 msimu huu na amesaidia ufungaji wa mabao 12 kwa timu yake ya Red Bulls.
Bosi wake Henry alisema ''Thiery na wa kipekee.Anatengeneza kila goli isipokuwa lakwake.Anapong'ara namna hii, unaweza kusema ndiye mchezaji bora katika ligi yote''.
CHRISTIANO RONALDO ATAKA KUWEKA REKODI YA KUWA MCHEZAJI WA KWANZA KULIPWA KIASI CHA £400,000 KWA WIKI




Mchezaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo anataka kuwa mcheza soka wa kwanza kupokea mshahara wa £400,000 kwa wiki, kwa mujibu chanzo cha habari cha ESPN.

Kutokana na sheria za kodi za Spain  zilivyo, Ronaldo atahitaji kufikia kulipwa mshahara wa £400,000 kwa wiki ili kuweza kupata anachokitaka kuwa mchezaji anayepokea fedha nyingi za mshahara.


Huku akiwa anavivutia vilabu vingi dunaiani, wakiwemo matajiri wa Man City na PSG, mazungumzo ya juu ya hatma ya Ronaldo yapo njiani kuanza.


Ronaldo ametoa taarifa rasmi akisema kwamba 'huzuni' yake aliyosema anayo haihusiani na mambo ya fedha. Lakini chanzo cha habari kilicho karibu na Ronaldo kinasema kwamba Mreno huyo anataka mshahara wake uongezwe mara mbili, na hili litafanya aamini kwamba klabu hiyo ipo tayari kumpigania aendeleee kubaki kwenye klabu hiyo.


Nahodha huyo wa Ureno aliwahi kuwa mchezaji anayelipwa vizuri zaidi duniani wakati akihamia Mafrid mwakak 2009, akiwa analipwa £200,000 kwa wiki, lakini kwa sasa amejikuta ameteremka mpaka kushika nafasi ya kumi duniani, akipitwa na wachezaji kama Samuel Eto'o, Wayne Rooney, Neymar na Didier Drogba pamoja na wengine watano.


Kingine, Madrid kwa sasa wanamiliki asilimia 50 ya haki za picha za Ronaldo, na sasa tayari ameshampita David Beckham kuwa mchezaji ambaye jezi zake zinauzwa sana katika ulimwengu wa soka.


Ronaldo ana mkataba na Madrid unaoishia 2015.

BAYERN MUNICH WAMNYATIA THEO WALCOT
-WATAKA AWE MRITHI WA FRANK RIBERY

Theo Walcott

Bayern Munich wanafuatilia mchakato wa kusainiwa kwa mkataba mpya wa winga wa Arsenal, Theo Walcott kwa nia ya kumnyakua ikibidi ili akarithi nafasi ya winga wao Franck Ribery anayefukuziwa na klabu ya nchini kwao Ufaransa ya matajiri wa PSG.

Walcott atakuwa huru kusaini mkataba wa makubaliano ya awali na klabu nyingine kufikia Januari 1 na kocha Arsene Wenger amekiri kwamba wanaweza kumuuza kama atakataa kusaini mkataba  mpya waliompa kabla ya krismasi.

Gazeti la TZ limesema kuwa Bayern wanafuatilia kwa karibu maendeleo ya kusainiwa kwa mkataba mpya wa Walcott.


MOURINHO : NITAFUNDISHA MPIRA HADI MIAKA 70 KAMA FERGUSON

Kocha Jose Mourinho(kulia) akiwa na wachezaji wake wa Real Madrid mazoezini

Kocha wa Real Madrid Jose Mourinho
KOCHA wa Real Madrid, Jose Mourinho amesema amedhamiria kufundisha soka kwa miaka mingi kama Sir Alex Ferguson.

 Mourinho ni rafiki mzuri wa kocha huyo wa Manchester United.

"Najua vyema kwanini Alex bado anafanya kazi katika umri ule nadhani nitafanya kama hivyo. Napenda soka na napenda kufundisha. Nitakuwa bado mdogo wakati nitakapofikisha miaka 50 (Januari mwakani) na nina mengi mbele yangu," alitabasamu Mourinho. 

MATOKEO KOMBE LA CARLING UINGEREZA


West Brom   1-2   Liverpool

Arsenal         6-1  Coventry


Carlisle         0-3  Tottenham


Man Utd       2-1   Newcastle


Norwich       1-0   Doncaster


QPR             2-3   Reading


WALCOTT AKIRI KUMMISI VAN PERSIE



WINGA wa Arsenal, Theo Walcott amekiri kwamba alijisikia vibaya sana kumuona Robin van Persie akiondoka kwenda Manchester United. 
Walcott amesema alikuwa karibu sana na Mholanzi huyo. 
"Daima unawamisi wachezaji bora na yeye ni rafiki mkubwa na mweledi wa uhakika. Namtakia mema Manchester United. Daima alikuwa akinitafuta na kunisapoti. Nammisi sana lakini unapaswa kusahau na kusonga mbele." alisema Walcot.

RATIBA YA MECHI ZA LEO KOMBE LA CARLING




NEMANJA VIDIC NJE WIKI NANE KWA UPASUAJI WA GOTI

Nemanja Vidic

LONDON, England
Nahodha wa timu ya Manchester United, Nemanja Vidic atakuwa nje ya kikosi cha timu yake kwa miezi miwili baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti, klabu hiyo ya Ligi Kuu ya England imesema leo.

Beki huyo wa kimataifa wa Serbia, alikuwa nje kwa miezi sita msimu uliopita kutokana na jeraha la goti kabla ya kurejea katika kikosi cha kwanza mwanzoni mwa msimu huu.

"Nemanja Vidic amefanyiwa upasuaji wa goti lake la kulia na atakuwa nje kwa takriban wiki nane," Man U imesema leo katika taarifa yake kupitia tovuti yao rasmi (www.manutd.com).

"Sir Alex (Ferguson), kwa tahadhari, alimpumzisha Vidic mwishoni mwa wiki, baada ya kulalamikia maumivu ya goti, hata hivyo, uchunguzi zaidi wa kitaalam umebaini tatizo lake.

"Beki huyo wa kati alipasuliwa wiki hii na atakuwa nje kwa wiki nane."

Kukosekana kwa beki huyo mwenye miaka 30 ni pigo jingine kubwa kwa Ferguson, ambaye tayari alishawakosa mabeki Phil Jones na Chris Smalling wanaosumbuliwa na majeraha.

Man U wameshinda mechi nne katika mechi zao tano za mwanzo wa msimu wa Ligi Kuu ya England lakini wameonekana kuyumba katika safu yao ya mabeki, huku Rio Ferdinand na Jonny Evans wakiwa ndio wachezaji pekee wazoefu  kwa nafasi ya ulinzi wa kati walio 'fiti' kucheza. 


WAYNE ROONEY APONA
-SASA YUKO FITI DHIDI YA TOTENHAM JUMAMOSI HII

Wayne Rooney

LONDON, England
MSHAMBULIAJI Wayne Rooney, ambaye hajacheza mwezi mzima baada ya kuumia vibaya paja dhidi ya Fulham huenda akarudi uwanjani wiki hii na kuungana kikosini na wachezaji wenzake wa Manchester United.


Mguu wa Rooney uliumizwa vibaya baada ya mshambuliaji huyo kugongana na mshambuliaji wa Fulham,  Hugo Rodallega kwenye Uwanja wa Old Trafford Agosti 25, lakini sasa anaweza kucheza dhidi ya Newcastle United katika mechi yao ya Kombe la Carling au dhidi ya Tottenham Hotspur katika mechi ya Ligi Kuu ya England Jumamosi.


"Hayuko mbali sana," kocha Alex Ferguson amewaambia waandishi wa habari.
"Amekuwa akifanya mazoezi makali na pia kujituma sana."

RATIBA YA WIKI HII LIGI ZA ULAYA
UINGEREZA
Jumamosi 29 Sep 2012 - Premier League
  • Arsenal         v        Chelsea 12:45
  • Everton        v        Southampton 15:00
  • Fulham         v        Man City 15:00
  • Norwich       v         Liverpool 15:00
  • Reading       v         Newcastle 15:00
  • Stoke           v        Swansea 15:00
  • Sunderland  v        Wigan 15:00
  • Man Utd       v        Tottenham 17:30
  Jumapili 30 Sep 2012 - Premier League
  • Aston Villa   v        West Brom 16:00
Jumatatu 1 Oct 2012 - Premier League
  • QPR            v         West Ham 20:00
HISPANIA
Jumamosi 29 Sep 2012 - Spanish La Liga
  • Valencia           v     Real Zaragoza 15:00
  • Malaga             v     Real Betis 17:00
  • Real Sociedad  v     Athletic Bilbao 19:00
  • Sevilla              v     Barcelona 21:00
Sun 30 Sep 2012 - Spanish La Liga
  • Granada          v      Celta de Vigo 11:00
  • Valladolid        v      Rayo Vallecano 15:00
  • Osasuna          v      Levante 17:00
  • Real Madrid     v      Deportivo 18:50
  • Espanyol         v      Atl Madrid 20:30
Mon 1 Oct 2012 - Spanish La Liga
  • Getafe             v      Mallorca 20:30
THEO WALCOTT: NATAKA KUBAKI ARSENAL

Theo Walcott
Mchezaji wa Arsenal Theo Walcott amesema kuwa anatamani kuendelea kuichezea klabu yake ya Arsenal. Mchezaji huyo yupo katika mkataba wake wa mwisho lakini anataka kuiweka hatma ya maisha yake ya uchezaji juu ya klabu ya Arsenal chini ya kocha Arsene Wenger.''Siku zote nimependa kubaki hapa.Nina matumaini kuwa kuna kitu kinaweza kuafikiwa.Lakini hii inachukua muda, ni mojawapo kati ya mambo haya ambalo haliwezi kutendeka kwa usiku mmoja.Napaswa niwe mvumilivu.Katika msimu huu wa kiangazi,kulikuwa na nafasi kadhaa za mimi kuondoka,kwahiyo kama ilikuwa ni sababu ya fedha ningeshaondoka.Kama jambo hili halitasuluishwa nitajisikia vibaya,siwezi kudanganya.Itakuwa aibu lakini unapaswa kusonga mbele na kukubali.Natumai haitafika huko.Naipenda klabu.Napenda kucheza kwa ajili ya meneja, kwa ajili ya timu na tumeshaonesha ishara kubwa'' alisema Walcott

REAL MADRID WAICHAPA RAYO VALLECANO

Mchezaji wa Real Madrid Marcello akiruka juu kusherekea goli lililofungwa na Karim Benzema katika mechi ya jana dhidi ya Rayo Vallecano


Real Madrid jana wameibuka na ushindi wa goli mbili dhidi ya Rayo Vallecano na hivyo kuwa na tofauti ya pointi nane dhidi ya Barcelona.
Waliofunga katika mechi hiyo ni Karim Benzema katika dakika ya 13 ya mchezo na baadaye Christiano Ronaldo kumalizia katika dakika ya sabini kabla ya mchezo kuisha.
Matokeo ya mechi za jana

Rayo Vallecano  0 -2   Real Madrid
Deportivo          0 - 2  Sevilla

MECHI KATI YA REAL MADRID NA RAYO VALLECANO KUCHEZWA LEO SAA 2:45 (SAA ZA KIBONGO)
-NI BAADA YA MTU ASIYEJULIKANA KUKATA NYAYA ZA TAA ZA UWANJA NA KUSABABISHA GIZA KUBWA


MADRID, Hispania 
   Real Madrid wamekubali kwa tabu kucheza mechi yao ya ugenini ya Ligi Kuu ya Hispania dhidi ya Rayo Vallecano leo kuanzia saa 2:45 usiku, ikiwa ni siku moja tu baada ya mechi yao kuahirishwa kwa sababu ya mtu asiyefahamika kukata nyaya za umeme za taa za Uwanja wa Rayo wa Vallecas na kusababisha giza zaidi ya nusu uwanja.
  Mechi hiyo ilikuwa ichezwe jana kuanzia saa 4:30 usiku lakini uwanja ulikuwa nusu-giza na mashabiki walikuwa bado wakisubiri nje ya milango iliyokuwa imefungwa kuwapiosha mafundi waliokuwa wakiendelea na matengenezo. 
   Rais wa Rayo, Raul Martin Presa amesema kuwa mtu huyo asiyefahamika amekata nyaya za baadhi ya taa na wakati tatizo hilo lilipogundulika, hawakuweza kufanya lolote kwani tayari mechi hiyo ilishaahirishwa.
   Awali, Real walisema kwamba hawataki tena kukumbana na tatizo hilo la taa za uwanjani na kupendekeza kuwa mechi hiyo ichezwe leo kuanzia saa 12:00 jioni, wakati Rayo wakisisitiza kwamba ichezwe kuanzia saa 3:00 usiku ili kutoa nafasi kwa mashabiki wengi zaidi wa Rayo kuhudhuria.
   Hata hivyo, mwishowe waendeshaji wa La Liga walikubaliana na pande zote mbili Real Madrid na Rayo Vallecano kuwa mechi hiyo ichezwe leo kuanzia saa 2:45 usiku   
   Rayo wakasema kuwa tiketi zilizokatwa kwa ajili ya mechi ya jana ndizo zitakazotumika leo na kwamba, mashabiki wasioweza kuhudhuria wanaweza kuzirejesha.
MATOKEO LIGI ZA ULAYA WIKEND HII 
MSIMAMO WA LIGI
UINGEREZA (EPL)
Psn Team P    GD Points
HISPANIA (LA LIGA)





1 Chelsea 5 7 13
2 Man Utd 5 6 12
3 Everton 5 4 10
4 West Brom 5 3 10
5 Arsenal 5 7 9
6 Fulham 5 5 9
7 Man City 5 3 9
8 Tottenham 5 2 8
9 West Ham 5 1 8
10 Newcastle 5 0 8
Psn Team         Played GD    Points
1 Barcelona 5 11 15
2 Malaga 4 4 10
3 Real Betis 4 3 9
4 Mallorca 4 2 8
5 Sevilla 4 2 8
6 Atl Madrid 3 5 7
7 Rayo Vallecano 4 1 7
8 Deportivo 4 2 6
9 Celta de Vigo 5 0 6
Jumapili, 23 September 2012
Barclays Premier League




Liverpool              1-2             Man Utd

Newcastle             1-0             Norwich
Man City              1-1              Arsenal
Tottenham           2-1              QPR


Jumamosi, 22 September 2012
Barclays Premier League
Chelsea              1 - 0      Stoke Stamford Bridge
Southampton    4 - 1      Aston Villa St. Mary's Stadium
West Brom        1 - 0      Reading The Hawthorns
West Ham          1 - 1      Sunderland Upton Park
Wigan                 1 - 2      Fulham The DW Stadium
Swansea            0 - 3      Everton Liberty Stadium

German Bundesliga

Schalke 04         0 - 2      Bayern Munich Veltins Arena
Wolfsburg         1 - 1       Greuther Furth Volkswagen Arena
Mainz                 2 - 0       Augsburg Coface Arena
Hamburg           3 - 2       Borussia Dortmund Imtech Arena
Fortuna Dusseldorf 0 - 0   SC Freiburg Espirit Arena

Spanish Primera Liga

Real Zaragoza    3 - 1 Osasuna La Romareda

Liverpool 1 Manchester United 2 
Mshambuliaji wa Man Utd Robin Van Persie akishangilia mara baada ya kufunga goli dhidi ya Liverpool jana

Man City 1 Arsenal 1

Beki wa kati wa Asenal Koscielny akizingirwa na wachezaji wenzake mara baada ya kufunga goli la kusawazisha dhidi ya Man City
RATIBA YA MECHI LIGI KUU ULAYA 
LIGI KUU UINGEREZA (EPL)

Jumamosi 22 Sep 2012
Swansea         v       Everton          12:45
Chelsea           v       Stoke              15:00
Newcastle  P - P     NorwichPostponed - now being played Sun, Sept 23
Southampton  v       Aston Villa      15:00
West Brom      v       Reading          15:00
West Ham        v       Sunderland    15:00
Wigan               v       Fulham           15:00Sun


Jumapili 23 Sep 2012Liverpool          v       Man Utd          13:30
Newcastle        v       Norwich          15:00
Man City           v        Arsenal           16:00  
Tottenham       v       QPR                 16:00


LIGI KUU HISPANIA(SPANISH LA LIGA)

Jumamosi 22 Sep 2012  
Real Zaragoza    
v    Osasuna        15:00
Celta de Vigo      v    Getafe            17:00
Real Betis            v    Espanyol        19:00
Barcelona            v    Granada        21:00


Sun 23 Sep 2012 
Mallorca              v     Valencia         11:00
Levante              v      Real Sociedad  15:00
Atl Madrid           v     Valladolid         17:00
Athletic Bilbao    v      Malaga            18:50
Rayo Vallecano  v      Real Madrid    20:30


Mon 24 Sep 2012
Deportivo           v       Sevilla              20:30


Wed 26 Sep 2012
Real Betis           v        Atl Madrid      20:00



LIGI KUU UJERUMANI (GERMAN BUNDESLIGA)
Jumamosi 22 Sep 2012 
Fortuna Dusseldorf   v   SC Freiburg                   14:30
Hamburg                    v    Borussia Dortmund     14:30
Mainz                          v    Augsburg                      14:30
Schalke 04                  v    Bayern Munich            14:30
Wolfsburg                   v    Greuther Furth            14:30


Sun 23 Sep 2012 - German Bundesliga
B Leverkusen             v     Borussia M'gladbach  14:30
TSG Hoffenheim        v     Hannover 96               16:30
Werder Bremen        v     VfB Stuttgart               16:30


Tue 25 Sep 2012 - German Bundesliga
Bayern Munich          v      Wolfsburg                   19:00
Eintracht Frankfurt  v       Borussia Dortmund   19:00
Greuther Furth         v       Fortuna Dusseldorf   19:00
Schalke 04                 v       Mainz                          19:00



DIDIER DROGBA ASEMA ATAENDELEA KUBAKI KATIKA KLABU YAKE MPYA YA SHANGHAI SHENHUA

Didier Drogba na Nicolous Anelka wakiwa mazoezini katika klabu yao ya Shanghai Shenghua

Nyota wa zamani wa Chelsea Didier Drogba amesema ana matumaini ya kuendelea kubaki katika klabu ya Shanghai Shenhua licha ya maswali mengi ambayo yamekuwa yakiulizwa kuhusu hatma yake ya baadaye.Aidha ripoti mbalimbali zinasema kuwa kumekuwa na ongezeko la wapenzi wa klabu hiyo kwa asilimia 30 tokea Drogba ajiunge na klabu hiyo.
Drogba alijiunga na klabu hiyo mwezi julai,wiki moja tu baada ya kufunga goli la ushindi akiichezea Chelsea katika mchezo wa fainali ya Ligi Klabu Bingwa Ulaya akisaini kulipwa mshahara wa zaidi ya dola 300,000 kwa wiki, hii ikimfanya kuwa mchezaji anayelipwa zaidi nchini China.
Watazamaji katika uwanja wa nyumbani wamefika 20,000 kutoka 15,000 ya awali klabu yake ilisema.''Nina furaha hapa, sina sababu yoyote ya kuondoka.
''Napenda kubaki hapa kwa muda mrefu zaidi-kushinda baadhi ya mataji na timu yangu na kuwapa furaha mashabiki wetu'' alisema Drogba katika video iliyotumwa kwenye tovuti ya kituo cha utangazaji cha Uingereza BBC ijumaa.
''Ni ngumu kwa sasa lakini najua kuna matumaini na ninaimani'' aliongeza Drogba. 

KIUNGO WA ARSENAL JACK WILSHERE AREJEA UPYA
-Ajumuika mazoezini na wenzake
-Ni baada ya kuwa nje ya uwanja kwa miezi 14

Johan Djourou, Jack Wilshere, na Kieran Gibbs wakiwa mazoezini





Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere amerudi kikosini na kujifua na wenzake katika muda wote wa mazoezi leo baada ya kuwa nje kwa miezi 14 kutokana na jeraha la muda mrefu la 'enka'.
Kiungo huyo mwenye miaka 20 alikuwamo katika kikosi cha kwanza cha Arsenal na kuitwa pia katika kikosi cha timu ya taifa ya England kabla ya kuondolewa baadaye.
"Imekuwa ni miezi 14 sasa na huo ni muda mrefu sana kwa mtu wa umri kama wake.Ni habari njema sana kwetu" alisema kocha Arsene Wenger.


GERARD PIQUE NJE WIKI MBILI HADI TATU

Gerard Pique wa Barcelona akitoka uwanjani baada ya kuumia wakati wa mechi yao ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Spartak Moscow kwenye Uwanja wa Camp Nou mjini Barcelona, jana Septemba 19, 2012.


Timu ya FC Barcelona italazimika kucheza kwa wiki mbili hadi tatu bila ya mlinzi wao wakati Gerard Pique kuumia enka ya kushoto katika mchezo wa Ligi Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Spartak Moscow.
Pique aliumia mguu wa kushoto mapema katika mechi ambayo Barca walishinda 3-2 katika Ligi ya Klabu Bingwa nyumbani dhidi ya Spartak Moscow na akaungana na beki
mwenzake Carles Puyol na kiungo Andres Iniesta kwenye orodha ya majeruhi.
Alirejea uwanjani baada ya kupatiwa matibabu lakini hakuweza kuendelea na nafasi yake ikachukuliwa na kiungo mpya Alex Song katika dakika ya 12.
Beki huyo wa kimataifa wa Hispania ataikosa mechi ya Barca ya La Liga nyumbani dhidi ya Granada Jumamosi na ya ugenini dhidi ya Sevilla wiki moja baadaye lakini huenda akarejea mapema kuwakabili Benfica katika Ligi ya Klabu Bingwa Jumanne Oktoba 2. 
 
MATOKEO YA LIGI YA EUROPA


Bordeaux 4-0 Club Bruges Full time
Dnipro 2-0 PSV Eind'ven Full time
FC Copenhagen 2-1 Molde Full time
Fenerbahce 2-2 Marseille Full time
Hapoel Tel-Aviv 0-3 Atl Madrid Full time
Maritimo 0-0 Newcastle Full time
Napoli 4-0 AIK Solna Full time
Plzen 3-1 Academica Full time
Udinese 1-1 Anzhi Makhachkala Full time
VfB Stuttgart 2-2 Steaua Buch't Full time
Young Boys 3-5 Liverpool Full time
Athletic Bilbao 1-1 Hapoel Kiryat Shmona Full time
B Leverkusen 0-0 Met'st Kharkiv Full time
FC Twente 2-2 Hannover 96 Full time
Genk 3-0 Video Fehervar Full time
Inter Milan 2-2 Rubin Kazan Full time
Levante 1-0 Helsingborgs Full time
Lyon 2-1 Sparta Prague Full time
NK Maribor 3-0 Panathinaikos Full time
Partizan Belgrade 0-0 Neftchi Full time
Rapid Vienna 1-2 Rosenborg Full time
Sporting 0-0 FC Basel Full time
Tottenham 0-0 Lazio Full time

SHAKIRA AKIRI KUWA NA UJAUZITO WA GERARD PIQUE


Mwanamuziki wa Pop toka Colombia Shakira amethibitisha hadharani siku ya jumatano kuwa ana ujauzito wa mchezaji wa Barcelona Gerrard Pique. "Kama ambavyo mnafahamu Gerrard na mimi tunafuraha sana na tunasubiri kwa hamu kubwa ujio wa mtoto wetu.Kwa sasa tumeamua kutoa nafasi ya upekee jambo hili kwa wakati huu wa kipekee katika maisha yetu na kuahirisha mambo mengine yote ya ziada tuliyopanga katika siku za hivi karibuni" alisema shakira katika tovuti yake.
KOCHA WA CHELSEA ROBERTO DI MATTEO ANYWEA BAADA YA KULAZIMISHWA SARE DHIDI YA JUVENTUS

Kocha mkuu wa Chelsea Roberto Di Matteo


Oscar akiachia shuti kali kufunga goli dhidi ya Juventus katika uwanja wa Stanford Brigde
Kocha mkuu wa Chelsea Roberto Di Matteo ameeleza kusikitishwa kwake na matokeo ya mchezo wao wa jana dhidi ya Juventus ya Italia.Roberto Di Matteo alisema Chelsea waliachwa wakiwa wamenywea mara baada ya kuruhusu ushindi wao wakuongoza wa bao 2-0 upotee dhidi ya Juve katika mechi ya Ligi Klabu Bingwa Ulaya.Aidha kocha huyo  alimsifu Oscar kwa kufunga mabao yote mawili katika mchezo wake wa kwanza kwenye michuano hiyo. Mbrazili huyo alifunga magoli mawili ndani ya dakika mbili kabla Juve kurudisha kupitia wachezaji wake Arturo Vidal na Fabio Quagliarella.
Oscar mwenye miaka 21 alijiunga na Chelsea akitokea timu ya Internacional ya Brazil kwa uhamisho wa paundi milioni 25 ( £25m).

MATOKEO YA MECHI ZA LIGI KLABU BINGWA ULAYA (UEFA CHAMPIONS LEAGUE) JANA JUMATANO

Jumatano19 September 2012





.















.



.







.















WASIWASI JUU YA EVRA NA SUAREZ KUSALIMIANA KWA MKONO SIKU YA JUMAPILI

Patrice Evra akimvuta mkono Luis Suares mara baada ya Suarez kukwepa kumpa mkono


Watu wengi wamekuwa wakisubiri kwa hamu kubwa kuona iwapo wachezaji Patrice Evra wa Man Utd na Luiz Suarez wa Liverpool watasalimiana kwa mkono katika mechi kati ya timu hizo mbili siku ya Jumapili katika uwanja wa Anfield. Klabu za Liverpool na Man Utd zimesema kuwa wana imani kubwa kuwa wachezaji hao watasalimiana kwa mkono.
Kocha wa Man Utd amesema kuwa klabu yake itaiunga mkono Liverpool kwa kila njia watakayoweza. Katika mchezo huo kabla ya mchezo kuanza kutakuwa na kumbukumbu ya heshima  ambapo manahodha Steven Gerrard na Nemanja Vidic wataachilia hewani maputo (balloons) 96 kuwakumbuka waliofariki dunia mwaka 1986.

MICHUANO YA LIGI KLABU BINGWA ULAYA JANA

MADRID WALIVYOICHAKAZA MAN CITY

Real Madrid 3 Man City 2 

Roberto Manchini na Jose Mourinho kabla ya mechi kuanza







Christiano Ronaldo akishangilia goli la tatu na la ushindi katika mechi dhidi ya Man City

Kocha wa Madrid Jose Morinho akishangilia goli la ushindi lililofungwa na Christiano Ronaldo

STAR MAN - CRISTIANO RONALDO
REAL MADRID: Casillas 6, Arbeloa 6, Pepe 6, Varane 6, Marcelo 7, Khedira 6, Essien 7, Alonso 8, Di Maria 7, Ronaldo 8, Higuain 7. Subs: Ozil (Essien 64) 6; Benzema (Higuain 72) 7; Modric (Khedira 72) 6. Not used: Adan, Ramos, Coentrao, Kaka.
MAN CITY: Hart 7, Maicon 5, Kompany 5, Nastasic 5, Clichy 6, Y Toure 8, Barry 6, Garcia 6, Silva 6, Nasri 5, Tevez 6. Subs: Kolarov (Nasri 36) 5; Dzeko (Silva 63) 7; Zabaleta (Maicon 73) 6. Not used: Pantilimon, Lescott, Aguero, Rodwell. Booked: Garcia, Kompany, Dzeko.

ARSENAL NAO WAFUMANIA

Montpellier 1 Arsenal 2

Gevinho wa Arsenal akishangilia goli la ushindi

 STAR MAN - LUKAS PODOLSKI (Arsenal)

ARSENAL: Mannone 7, Jenkinson 7, Gibbs 7, Vermaelen 6, Mertesacker 6, Diaby 7, Cazorla 6, Arteta 6, Gervinho 7, Giroud 6, Podolski 8. Subs: Ramsey (Giroud 76) 6, Coquelin (Carzola 89) 6, Walcott (Podolski 89) 6. Not used: Shea, Koscielny, Santos, Oxlade-Chamberlain.
MONTPELLIER: Jourdren 6, Bocaly 6, Bedimo 6, Yanga-Mbiwa 6, Hilton 6, Estrada 7, Saihi 6, Mounier 6, Belhanda 7, Cabella 7, Camara 6. Subs: Ali-Fana (Mounier 68) 6, Harrera (Estrada 78) 6, Stambouli (Camara 78) 6. Not used Pionnier, Marveaux, Congre, Jeunechamp.
REF: Velasco Carballo (Sp) 6.

MATOKEO MENGINE

 Jumanne September 18, 2012


UEFA Champions League - Group C

Fixture Kick-off Status
AC Milan 0-0 Anderlecht Full time
Borussia Dortmund 1-0 Ajax Full time
Din Zagreb 0-2 FC Porto Full time
Malaga 3-0 Zenit St P'sbg Full time
Montpellier 1-2 Arsenal Full time Report
Olympiakos 1-2 Schalke 04 Full time
Paris SG 4-1 Dynamo Kiev Full time
Real Madrid 3-2 Man City Full time Report
MATOKEO YA MECHI YA JANA JUMATATU 17 SEPT EPL


Barclays Premier League

Fixture Kick-off Status
Everton 2-2 Newcastle Full time Report
RATIBA YA LIGI YA MABINGWA ULAYA(UEFA CHAMPIONS LEAGUE) WIKI HII

Jumanne 18 Sep 2012 
  • AC Milan v Anderlecht 19:45
  • Borussia Dortmund v Ajax 19:45
  • Din Zagreb v FC Porto 19:45
  • Malaga v Zenit St P'sbg 19:45
  • Montpellier v Arsenal 19:45
  • Olympiakos v Schalke 04 19:45
  • Paris SG v Dynamo Kiev 19:45
  • Real Madrid v Man City 19:45
 Jumatano 19 Sep 2012 
  • Barcelona v Spartak Moscow 19:45
  • Bayern Munich v Valencia 19:45
  • Braga v CFR Cluj-Napoca 19:45
  • Celtic v Benfica 19:45
MATOKEO YA MECHI ZA LIGI KUU ULAYA WIKI HII
LIGI KUU UINGEREZA (EPL)

Barclays Premier League

Fixture Kick-off Status
Norwich 0-0 West Ham Full time Report
Arsenal 6-1 Southampton Full time Report
Aston Villa 2-0 Swansea Full time Report
Fulham 3-0 West Brom Full time Report
Man Utd 4-0 Wigan Full time Report
QPR 0-0 Chelsea Full time Report
Stoke 1-1 Man City Full time Report
Sunderland 1-1 Liverpool Full time Report
  Reading 1-3 Tottenham   Full time Report
 
LIGI KUU HISPANIA (SPANISH LA LIGA)






Spanish BBVA La Liga

Fixture Kick-off Status
Espanyol 3-3 Athletic Bilbao Full time
Granada 1-1 Deportivo Full time
Osasuna 1-1 Mallorca Full time
Real Sociedad 2-0 Real Zaragoza Full time
Atl Madrid 4-3 Rayo Vallecano Full time



Spanish BBVA La Liga

Fixture Kick-off Status
Malaga 3-1 Levante Full time
Valencia 2-1 Celta de Vigo Full time
Getafe 1-4 Barcelona Full time
Sevilla 1-0 Real Madrid Full time




MECHI ZA LEO JUMAMOSI SEPT 15  LIGI KUU ZA ULAYA

LIGI KUU UINGEREZA (EPL)
LIGI KUU HISPANIA (SPANISH LA LIGA)
  • Malaga v Levante 15:00
  • Valencia v Celta de Vigo 17:00
  • Getafe v Barcelona 19:00
  • Sevilla v Real Madrid 21:00 
LIGI KUU UFARANSA (LEAGUE 1)
  • Troyes v Lille 16:00
  • Evian Thonon Gaillar v Bastia 19:00
  • Nice v Brest 19:00
  • St Etienne v Sochaux 19:00
  • Valenciennes v Bordeaux 19:00
LIGI KUU UJERUMANI(GERMANY BUNDERSLIGA)
  • Bayern Munich v Mainz 14:30
  • Borussia Dortmund v B Leverkusen 14:30
  • Borussia M'gladbach v Nuremberg 14:30
  • Hannover 96 v Werder Bremen 14:30
  • VfB Stuttgart v Fortuna Dusseldorf 14:30
  • Greuther Furth v Schalke 04 17:30 
IBRAHIMOVICH AANZA VIZURI PSG

Zlatan Ibrahimovic mchezaji mwenzake wa PSG Javier Pastore wakishangilia ushindi wa 2-0 dhidi ya Toulouse 
Timu ya mpira ya Paris Saint Germain imeweka rekodi ya ushindi wao wa kwanza katika uwanja wa nyumbani dhidi ya  Tolouse ijumaa hii.Magoli ya muajentina Javier Pastore pamoja na Zlatan Ibrahimovich yalitosha kuwapa PSG ushindi mbele ya kocha wao Carlo Ancelotti

RONALDO LUIZ NAZARRIO WA BRAZIL AMTAJA MESSI KUWA MCHEZAJI BORA ZAIDI YA CRISTIANO RONALDO
Mbrazili Ronaldo



























Christiano Ronaldo (kushoto) na Lionel Messi (kulia)

Ni wachezaji au mashabiki wachache sana ambao wanaweza kujadili ni nani mchezaji bora duniani kwa sasa.Kujaribu kuchagua kati yenu ni jambo jingine tena. Lakini sio kwa mshambuliaji wa zamani wa Brazil  Ronaldo. ''Natoa kipaumbele kwa Messi sababu ni mchezaji anayetuvutia zaidi,anyayeonesha ubunifu mkubwa zaidi japokuwa anatokea Argentina,timu ambayo ni mpinzani mkubwa wa Brazil'' mbrazili Ronaldo aliliambia shirika la utagazaji la CNN Marekani. Aliwasifu wachezaji wote wawili lakini alisema,''Messi yupo juu kidogo kumzidi Ronaldo''.
Kama Messi,Ronaldo (35) ni mshindi mara tatu wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia na amefurahia mafanikio ya juu katika uchezaji ake akiwa Barcelona, Inter Milan na Real Madrid akishinda makombe mawili ya ligi kuu La Liga.

TIMU YA TAIFA YA HISPANIA YAANZA KUSAKA NAFASI YA KUCHEZA KOMBE LA DUNIA 2014 KWA USHINDI WA TABU

Wachezaji wa timu ya taifa ya Hispania wakishangilia ushindi wa goli lililofungwa na mshambuliaji Roberto Soldado katika dakika ya 86 dhidi ya timu ya taifa ya Georgia.






















Katika michezo mingine...

Timu ya taifa ya uingereza ilitoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Ukraine katika mechi iliyochezwa uwanja wa Wembley huku Steven Gerrard akitolewa nje.

Timu za Ufaransa,Ureno na Italia zilifanya kazi kubwa kwa kuzichapa Belarus,Azerbaijan na Malta

No comments: