RESEARCH AD

RESEARCH AD

CLEARING AND FORWADING

CLEARING AND FORWADING

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

THE GUARDIAN LTD

Thursday, October 25, 2012

ISIKILIZE SEHEMU YA HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU TANZANIA KUHUSU MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZIMBABWE
VIKOROMBWEZO NI KUTOKA XXL YA CLOUDS FM

BOFYA HAPA USIKILIZE HOTUBA HIYO

Saturday, October 6, 2012

KWA WALE WANAOTAKA KUKATA RUFAA (APPEAL) YA MKOPO WA ELIMU YA JUU BODI IMETOA TANGAZO LIFUATALO...

APPEAL NOTICE
As it was published earlier in the Guideline for Online Loan Application System (OLAS) and the procedure for appeal application, that students who would not be satisfied with the loans amount allocated to them may appeal at the start of the Academic Year.
The Higher Education Students’ Loans Board (HESLB) is hereby informing all applicants who are not satisfied with the Awarded Loan Amounts to  appeal to the Board as stipulated in the HESLB Regulations of 2008 and as clarified below:-

(i)All appellants must complete the relevant Online Appeal Forms, make a printout of the same and attach thereto the necessary supporting documents.  The online Appeals forms are accessible at http://olas.heslb.go.tz

(ii)                All appeals will attract a non-refundable fee of Tzs. 5,000/= per appeal which should be paid through M-Pesa and the Transaction ID generated should be input into the Online System prior to appealing online, otherwise the appeal will not be considered.

(iii)After successful completion of the Online Appeal Form, the appellant must download the form and attach the necessary documents and hand over to the respective Higher Education Institution Loan Desk Officer.

(iv)Appeals must be routed through the respective Loan Desk Officers who will collect all appeal forms from his/her respective Institution and submit them under a covering letter to the Board.  The Board will not accept any appeal that will be submitted directly by students to the Board.  The deadline for submission of appeals is 90 (ninety) days from the commencement of the 2012/2013 Academic Year.
ISSUED BY:
THE EXECUTIVE DIRECTOR
HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD

Wednesday, September 26, 2012

ADA ZA MASOMO KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM HII HAPA

BOFYA HAPO CHINI KUJIONEA ADA ZA MASOMO KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM PAMOJA NA MATANGAZO MENGINE

THE TUITION FEES FOR TANZANIAN NATIONALS – 2012/2013
Source: www.udsm.ac.tz

Tuesday, September 25, 2012

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI (SECOND SELECTION) KUJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCoBS)

BOFYA hapo chini kuona majina ya waliochaguliwa pamoja na Joining Instruction Form

DEGREE STUDENTS' SECOND ROUND SELECTION FROM TCU FOR ACADEMIC YEAR 2012/13

JOINING INSTRUCTION 2012/13
Source: www.moccobs.ac.tz

Monday, September 24, 2012

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY (T.I.A) NGAZI YA CHETI, STASHAHADA NA SHAHADA AWAMU YA PILI (SECOND SELECTION)

BOFYA hapo chini kuona majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo cha uhasibu T.I.A kwa awmu ya pili (sacond selection) mwaka wa masomo 2012/2013

 

SECOND SELECTION BACHELOR DEGREE, DIPLOMA, AND CERTIFICATE ADMISSION FOR 2012/2013

Source: www.tia.ac.tz

Friday, September 21, 2012

MATANGAZO MUHIMU KWA WALE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KUKUU IFM

1. JOINING INSTRUCTIONS FOR UNDERGRADUATE STUDENTS 2012/2013
2. JOINING INSTRUCTION FOR POSTGRADUATE STUDENTS 2012/2013
3. ACKNOWLEDGEMENT OF ADMISSION OFFER 
Source:www.ifm.ac.tz 
MATANGAZO MUHIMU KWA WALE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KUKUU MZUMBE

1.FIRST YEAR JOINING INSTRUCTION (MAIN CAMPUS)
2.FIRST YEAR JOINING INSTRUCTION (MBEYA CAMPUS)
Source: www.mzumbe.ac.tz 
MATANGAZO MUHIMU SANA KWA WALE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KUKUU CHA DSM (UDSM)

1. ADMISSIONS 2012/13 ADDITIONAL DIRECT APPLICANTS FROM TCU
2. FIRST YEAR STUDENTS’ REGISTRATION FORM “A” – DEGREE/NON-DEGREE PROGRAMMES
3. JOINING INSTRUCTION FORM FOR FRESHERS'(FIRST YEARS)
4. LIST OF SECOND ROUND OF ADMISSION
5. MEDICAL EXAMINATION FORM
6. ADMISSIONS 2012/2013 FOREIGN CERTIFICATES AND EQUIVALENT
 Source: www.udsm.ac.tz
BODI WATOA NJIA RAHISI ZAIDI YA KUTAFUTA JINA KWA WALIOPATA MKOPO

1. Uingiapo utapaswa kuingiza aidha Index Namba yako au Jina mojawapo kati ya unayotumia katika kiboksi cha kwanza kilichoandikwa 'Enter Keyword here'
2. Kisha ingiza maneno ya siri utakayoyaona sehemu ya mbele ya kiboksi cha pili kilichoandikwa 'Enter Security Code as it appears below'
3. Mwisho bonyeza sehemu ya chini iliyoandikwa SEARCH na moja kwa moja utaweza kujionea jina lako

BOFYA HAPA KUINGIA KWENYE NJIA YA KUANGALIA JINA LAKO KIURAHISI ZAIDI
Source: www.heslb.go.tz
TANGAZO MUHIMU KWA WALE WANAFUNZI 659 WENYE MATATIZO MBALIMBALI WAKATI WA UJAZAJI WA FOMU ZA MIKOPO
-Bodi imewapa muda wa siku 14 kuanzia Septemba 18 hadi Octoba 01 kusahihisha makosa yao kwa kuwasilisha taarifa husika Bodi ya Mikopo

NOTICE TO LOAN APPLICANTS WITH PROBLEMS
The Higher Education Students' Loans Board is hereby informing 659 loan applicants for 2012/2013 Academic Year who are admitted into Priority Programmes in various Higher Education Institutions and whose names appear hereunder to rectify the defects in their application forms before loans are disbursed to them.
With this Notice, all mentioned students are given 14 days from September 18 to October 1, 2012 to do the needful and resubmit the required information to the Board for further loan processes.
Issued by:
The Executive Director
Higher Education Students' Loans Board
P. O. Box 76068
DAR ES SALAAM.

KUONA MAJINA YA WENYE MATATIZO MBALIMBALI KATIKA FOMU ZAO BOFYA HAPA

1.ALREADY LOAN BENEFICIARIES (NEED TO CLARIFY) / WALIOPATA MKOPO LAKINI WANAHITAJIKA KUUBAINISHA VIZURI
2.APPLICANTS WITH INCOMPLETE FORMS / WAOMBAJI WENYE MAPUNGUFU KWENYE FOMU ZAO
 3.APPLICANTS WITH NAME DEFECT / WAOMBAJI WENYE MAPUNGUFU KWENYE JINA 
Source: www.heslb.go.tz
MAJINA YA WALIOPATA MKOPO:
KUTOKANA NA TATIZO LA KUELEMEWA KWA MTANDAO WA BODI, SASA MNAWEZA KUONA MAJINA YA WALIOPATA MKOPO KWA KU-DOWNLOAD PDF FILES HAPO CHINI
ILI KUONA MAJINA NI MUHIMU KUWA NA ADOBE READER PROGRAM.
KAMA HAUNA 'ADOBE READER' BOFYA HAPA CHINI
CLICK HERE TO DOWNLOAD ADOBE READER 

UKITAKA KUONA ASILIMIA YA MKOPO WAKO LOGIN KUPITIA ACCOUNT YAKO.
CLICK HAPO CHINI KUINGIA KWENYE ACCOUNT YAKO
HESLB OLAS
Source: www.heslb.go.tz 

Thursday, September 20, 2012

TCU YATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO MBALIMBALI, VIWANGO VYAO VYA MKOPO PAMOJA NA WALIOKOSA MKOPO

SELECTED APPLICANTS FOR THE 2012/2013 ADMISSIONS
The Tanzania Commission for Universities (TCU) in Collaboration with the National Council for Technical Education (NACTE) is announcing the names of Applicants who were seleted into various programs for the 2012/2013 Admissions. However, we shall announce the list of  some applicants who were selected into various programs but obtained no loan, applicants who were returned by some institutions, and selected applicants who asked for transfer, will be announced before 21 September 2012

1.TO VIEW SELECTED APPLICANTS WITH  LOAN / WALIOCHAGULIWA NA KUPATA MKOPO

2.TO VIEW SELECTED APPLICANTS WITH LOAN BUT SUBJECT TO VERIFICATION WITH HESLB / WALIOCHAGULIWA AMBAO MIKOPO YAO INAHITAJI KUHAKIKIWA NA BODI 

ILI KUONA MAJINA NI MUHIMU KUWA NA ADOBE READER PROGRAM.
KAMA HAUNA 'ADOBE READER' BOFYA HAPA CHINI
CLICK HERE TO DOWNLOAD ADOBE READER 
Source: www.heslb.go.tz
BODI YA MIKOPO WAOMBA UVUMILIVU WA MUDA KWA WANAFUNZI KUTOKANA NA TATIZO LA KIUFUNDI KATIKA TOVUTI YAO
Technical Problem



Written by Administrator (HESLB)   
Thursday, 20 September 2012 06:03
We are sorry that we are experiencing some technical problems on the website, we ask for your patience as our technical experts are working on this problem. We are doing our best to fix the problems as quickly as possible.
We appologise for the inconviniences caused.
Thank you.

KENDELEA KUONA MAJINA YA WALIOPATA MKOPO SOMA HABARI INAYOFUATA
Source: www.heslb.go.tz

Wednesday, September 19, 2012

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO KWA MWAKA WA MASOMO 2012/2013

LOAN ALLOCATION FOR ACADEMIC YEAR 2012/2013

NOTICE TO SUCCESSFUL LOAN APPLICANTS FOR 2012/2013 ACADEMIC YEAR

The Higher Education Students’ Loans Board is hereby announcing names of successful first time loan applicants for 2012/2013 Academic Year who applied and were eligible for student loans.
The list includes the Institution to which the student is admitted to and the amounts of loans allocated to a particular student in all or part of the loanable items as per Guidelines and Criteria for Issuance of Loans and Grants for 2012/2013 Academic Year.
Loan applicants are reminded that the loan money will be sent to their respective institutions where they will be required to sign to acknowledge receipt of the loans. No student shall be allowed to receive loan without signing against the amount he/she has received.
Issued by:
The Executive Director
Higher Education Students’ Loans Board
P. O. Box 76068
DAR ES SALAAM.

Click the Links Below to view the list (arranged by the University Code alphabetically)
6: 2012/13 Loans Allocations List 4-A  (SU - TU)
7: 2012/13 Loans Allocations List 4-B  (TU -UDOM)
8: 2012/13 Loans Allocations List 5-A   (UDOM -UDOM)
9: 2012/13 Loans Allocations List 5-B  (UDOM -UDSM)
9: 2012/13 Loans Allocations List 6       (UDSM -ZU)
  Source: www.heslb.go.tz
BODI YA MIKOPO (HESLB) YATANGAZA ONGEZEKO LA MIKOPO KWA WANAFUNZI HUKU WANAFUNZI 4,000 WAKIKOSA MIKOPO

WANAFUNZI 3,937 waliodahiliwa kuanza masomo ya elimu ya juu mwaka 2012/13 katika vyuo mbalimbali nchini, wamekosa mikopo kutokana na ufinyu wa bajeti.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Asangye Bangu alizungumza Dar es Salaam jana kuwa wanafunzi waliokidhi vigezo vya kupata mikopo hiyo ni 33,050 lakini waliopata ni 29,113.
Alisema kati ya wanafunzi hao waliofanikiwa kupata mikopo, wasichana ni asilimia 31.9 na wavulana asilimia  68.0.

“Jumla ya wanafunzi 49,895 walituma maombi Bodi mwaka huu. Waliokidhi vigezo na kustahili kupata mikopo ni 33,050. Wapo ambao hawatapata licha ya kukidhi viwango kutokana na ufinyu wa bajeti na masomo yao kutokuwa na kipaumbele,” alisema Bangu.

Alisema wanafunzi 28,454 tayari wameshapangiwa viwango vya mikopo na wengine 659 bado kupangiwa kutokana na kushindwa kukamilisha baadhi ya vitu ambavyo vinapaswa kuambatanishwa na fomu.

Bangu alisema vipaumbele vimewekwa kwa wanafunzi  wenye uhitaji wa mikopo hiyo kutokana na uwezo sambamba na wanaochukua kozi za ualimu, uhandisi, sayansi ya kilimo, sayansi ya wanyama, sayansi ya tiba na hisabati.
“Tumezingatia zaidi uhitaji wa mwombaji na masomo yenye vipaumbele kwanza kabla ya masomo mengine. Vilevile wapo watakaokosa kutokana na ufinyu wa bajeti,” alisema Bangu na kuongeza:

Waliofanikiwa kupata mikopo kwa masomo ya ualimu ni 13,004. Fani nyingine na idadi ya wanafunzi waliopata mikopo kwenye mabano ni uhandisi (2,369), elimu - sayansi (2,146), sayansi ya kilimo (433), sayansi ya wanyama (91), elimu - hisabati (242), sayansi ya tiba (1,583) na wanafunzi 6,838 kwa kozi zisizo za kipaumbele.

Alisema takwimu za mwaka huu zinaonyesha kuwa idadi ya wanafunzi waliopata mikopo imeongezeka kwa asilimia 12 ikilinganishwa na mwaka jana ambao waliopata walikuwa 26,000... “Serikali imetenga Sh345 bilioni ikilinganishwa na mwaka jana ambapo zilikuwa Sh317 bilioni,” alisema.

Aliwataka wanafunzi 659 ambao fomu zao zina matatizo kufanya marekebisho ndani ya siku 14 kuanzia jana ili bodi iendelee na mchakato wa kuwapitishia mikopo... “Wale ambao watakuwa wana matatizo, majina yao yatakuwa kwenye tovuti ya bodi ni vyema wangekamilisha mapema ili kuondokana na usumbufu.”
 
Chanzo: www.mwananchi.co.tz

Tuesday, September 18, 2012

WANAFUNZI ELIMU YA JUU WAKUMBWA NA WASIWASI WA KUPATA MIKOPO


Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini wako hatarini kuchelewa kupata fedha za mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kufunguliwa mwishoni mwa mwezi huu na mwanzoni mwa mwezi ujao...



Source: NIPASHE

Monday, September 17, 2012

CHUO KIKUU CHA ST. AUGUSTINE (SAUT) CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA HAPO NGAZI YA POSTGRADUATE MWAKA 2012/13

LIST OF POSTGRADUATE APPLICANTS SELECTED FOR MASTERS PROGRAMME 2012/2013-THIRD SELECTION

Source: www.saut.ac.tz

Friday, September 14, 2012

CHUO KIKUU CHA KILIMO SUA CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA HAPO KWA NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA MWAKA 2012/13

CANDIDATES SELECTED TO PURSUE CERTIFICATE AND DIPLOMA TRAINING PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2012/2013
The management of SUA is pleased to inform the following candidates that they have been selected
to join various Certificate and Diploma programmes for the academic year 2012/2013 which starts on
the 8th October, 2012. Candidates are advised to observe the following:

Read more...

Source:www.suanet.ac.tz
TANGAZO KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU DODOMA(UDOM)
-NI KUHUSU ADMISSION LETTERS

Announcement to All first year Students for Academic Year 2012/2013

Be Informed that If your Name Do not appear on the List of Selected Students Published, you will not be able to Download your Admission Letter. For Second batch and Equivalent Students the list of Selected Students will be published at Mid the Next Week.
For those who their Names Appears on the List, The admission Letters are Downloaded on the following Link, Please make sure you Read the Instructions
 Click the link below to download the Admission letter




















Source: www.udom.ac.tz

Thursday, September 13, 2012

CHUO CHA UHASIBU-TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY(T.I.A) CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO HICHO KWA NGAZI MBALIMBALI KWA MWAKA 2012/13
CANDIDATES SELECTED TO JOIN TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY(TIA) IN ACADEMIC YEAR 2012/2013 

The following is the list of students selected to join Tanzania Institute of Accountancy in various programmes in the academic year 2012/13 in the following campuses;
REGISTRATION PROCESS
Selected students will be notified soon about registration process
Source: www.tia.ac.tz
CHUO KIKUU CHA SAYANSI YA AFYA NA TIBA MUHIMBILI CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUONI HAPO NGAZI YA SHAHADA YA AWALI KWA MWAKA 2012/13

CANDIDATES SELECTED FOR ADMISSION INTO UNDERGRADUATE DEGREE 2012/13

The following candidates have been selected to join the Muhimbili University of Health and Allied Sciences in its various Undergraduate Degree programmes for the academic year 2012/2013. Applicants who accept the offer should report at the University on 30th September, 2012 for orientation. Admission letters and other instructions for admission may be collected in person by the respective candidates at MUHAS Admission Office, from 17th September, 2012.

Read More...

Source: www.muchs.ac.tz

Wednesday, September 12, 2012

RAIS KIKWETE AZINDUA CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA,KUNDUCHI JIJINI DAR ES SALAAM


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi Chuo cha UIinzi (National Defence College) leo Septemba 10, 2012 Kunduchi jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange na kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo hicho, Meja Jenerali Charles Makalala na kushoto kabisa ni aBalozi wa China nchini Tanzania Mhe. Lu Younqing.























Tuesday, September 11, 2012

CHUO CHA UFUNDI ARUSHA (ARUSHA TECHNICAL COLLEGE) CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NGAZI YA SHAHADA YA AWALI MWAKA 2012/13

The Arusha Technical College (ATC) is hereby releasing the names of selected candidates to join Bachelor’s degree programme in Civil and Irrigation Engineering course for academic year 2012/2013 offered by ATC.Selected candidates are required to report at the ATC (Junction of Moshi-Arusha and Nairobi Roads) on 21stOctober 2012ready for Registration and orientation process. Joining instructionscan be downloaded from the College website (www.atc.ac.tz)and also can be collected from the Registrar’s Office.

CANDIDATES SELECTED FOR BACHELOR’S DEGREE IN CIVIL AND IRRIGATION ENGINEERING COURSE OFFERED BY ATC (ACADEMIC YEAR 2012/2013)

Source: www.atc.ac.tz
CHUO CHA UHASIBU ARUSHA (INSTITUTE OF ACCOUNTANCY ARUSHA-IAA) CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA NGAZI YA SHAHADA YA AWALI

The following candidates have been selected to join Bachelor Degree programmes offered by the Institute of Accountancy Arusha for the 2012/2013 academic year. The candidates are required to carefully read the admission information given below:

To view the names,CLICK the link below

LIST OF CANDIDATES SELECTED THROUGH CENTRAL ADMISSION SYSTEM (CAS) TO JOING BACHELOR DEGREE PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2012/2013

Source: www.iaa.ac.tz
TCU YATANGAZA NAFASI ZA MAOMBI YA MASOMO KWA SHAHADA YA SAYANSI YA AFYA YA MAZINGIRA(BACHELOR OF SCIENCE IN ENVIRONMENTAL HEALTH SCIENCES) CHUO KIKUU CHA MUHIMBILI

AVAILABILITY OF SLOTS IN THE BACHELOR OF SCIENCE IN ENVIRONMENTAL HEALTH SCIENCES - MUHIMBILI (MH007) PROGRAMME.

Based on a special request from Muhimbili University of Health and Allied Sciences, the Commission hereby announces the availability of slots in the Bachelor of Science in Environmental Health Sciences (MH007) programme.

How to apply
Registered students who qualify and are interested in joining this programme are requested to use the Central Admission System and accordingly apply for admission to the programme and applications will be treated on the first-come first-served basis. This means the applicant is required to enter only one code for this program (MH007).

Deadline for application 
The system will be open for this purpose up to 17th September 2012.

Issued by:

Executive Secretary
TCU
10th September 2012

Source: www.tcu.go.tz

Monday, September 10, 2012

DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (D.I.T) YATOA MAJINA YA MAPYA YA ZIADA KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUONI HAPO NGAZI YA DIPLOMA KWA MWAKA 2012/13


ADDITIONAL CANDIDATES SELECTED TO JOIN THE DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) FOR ORDINARY DIPLOMA IN MECHANICAL ENGINEERING PROGRAMME FOR THE ACADEMIC YR 2012/13

The Dar es Salaam Institute of Technology is hereby releasing names of additional
candidates selected to join Ordinary Diploma (NTA Level 4-6) in Mechanical Engineering
Programme under Private Sponsorship


 Source: www.dit.ac.tz
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI YATOA NAFASI ZA UDHAMINI(SCHOLARSHIP) KWA WATANZANIA KWENDA KUSOMA NCHINI UINGEREZA

 
COMMONWEALTH SCHOLARSHIPS TENABLE IN THE UNITED KINGDOM FOR THE YEAR 2013

The Ministry of Education and Vocational Training as a nominating agent in the country for the Commonwealth scholarships is inviting applications from the qualified Tanzanians for Masters and Doctorate degrees tenable in the United Kingdom in the year 2013.


Source: www.moe.go.tz

Saturday, September 8, 2012

CHUO CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MBEYA INSTITUTE OF SCIENCE & TECHNOLOGY) CHATOA ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUONI HAPO NGAZI YA SHAHADA YA AWALI (FIRST DEGREE) 2012/13


Applicants whose names appear below have been selected to join Mbeya University of Science and Technology into various Bachelor Degree courses for the Academic year 2012/2013. The selected applicants should report at the Institute for the orientations week program which will start on 15th October 2012. Each candidate must confirm his/her loan status with the Higher Education Students’ Loans Board (HESLB).


 Source: www.mist.ac.tz

Thursday, September 6, 2012

TANGAZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA NA WANAOENDELEA (CONTINUING) CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)

IMPORTANT NOTICE TO BOTH FIRST YEAR AND CONTINUING STUDENTS
2012/2013 ACCADEMIC YEAR

All students are required to note that:
1. All students are required to register with the NATIONAL HEALTH INSURANCE FUND (NHIF)
2. University of Dodoma Students Organisation (UDOSO) fee is 5,000/= per student per year.
3. UDOSO fee MUST be paid by ALL STUDENTS in CRDB Bank:

Account number: - 01J2083321200
Account name: - UDOSO FEDERATION

Please DO NOT pay UDOSO fee in any other Account (Only UDOSO fee is payable in this account).

4. In order to avoid unnecessary queue (long lines in the bank) you are all urged to pay all the required fees before coming to Dodoma.
5. You will be required to show proof of payments (Bank pay-in-slip) during registration.
6. Make sure you write your names on the Bank pay-in-slip.






Source: www.udom.ac.tz
TANGAZO MUHIMU KWA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) KWA SHAHADA YA KWANZA(DEGREE PROGRAMME)


The University of Dar es Salaam has selected applicants whose names appear on the UDSM Website to join
its various undergraduate degree programmes for the 2012/2013 academic year. Other batches are expected
to be displayed soon after the Tanzania Commission for Universities’ approvals. The selected applicants
should report at the University Mwalimu J.K. Nyerere Mlimani Campus on Saturday 29th September, 2012
for the orientation week which starts on 1st October 2012. Applicants selected for admission into the Dar es
Salaam University College of Education (DUCE) and Mkwawa University College of Education (MUCE)
should report directly at the Colleges’ campuses in Chang’ombe and Iringa respectively on the same dates.
Joining instructions and admission letters should be collected at the University of Dar es Salaam Mwalimu
J.K. Nyerere Mlimani Campus, DUCE and MUCE depending on where one is admitted.


Source: www.udsm.ac.tz
CHUO KIKUU CHA MWENGE(MWENGE UNIVERSITY) CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO HICHO KWA MWAKA 2012/13


Dear Mwenge University College of Education Prospective students, below is the list of Candidates
selected to join Mwenge in 2012/13 academic year in diploma and Certificate Courses

Click the link below to see the list

Source: www.mwuce.com

Wednesday, September 5, 2012

TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA(MBEYA INSTITUTE OF SCIENCE & TECHNOLOGY) YATOA GHARAMA MPYA ZA ADA KWA MWAKA 2012/13


FEES AND BURSARIES
Student Pursuing Ordinary Diploma (NTA Level 4-6) programme may join the Institute under either Government sponsorship or privately sponsorship. Students pursuing Bachelor of Engineering are encouraged to apply for scholarship loan from the Higher Education Students Loan Board (HESLB).
The fee structure for Government and privately sponsored students can be Downloaded here:- 


Source: www.mist.ac.tz
CHUO KIKUU CHA ARTHI CHATANGAZA MAOMBI YA AWAMU YA PILI KWA NGAZI YA POSTGRADUATE


Ardhi University invites applications for admission into Postgraduate Programmes (Postgraduate Diploma, Master of Science Degree and Doctor of Philosophy Degree in the School of Urban and Regional Planning, School of Geospatial Science and Technology, School of Real Estate Studies, School of Environmental Science and Technology, School of Architecture and Design and School of
Construction Economics and Management and Institute of Human Settlement
Studies (IHSS) for the 2012/2013 academic year as detailed hereunder.


Source: www.aru.ac.tz

Tuesday, September 4, 2012

CHUO KIKUU CHA USHIRIKA NA MAFUNZO YA BIASHARA MOSHI(MUCCoBS) CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO CHUONI HAPO KWA SHAHADA YA AWALI/FIRST DEGREE PAMOJA NA SHAHADA YA UZAMILI/MASTERS DEGREE 2012/13





 Source: www.muccobs.ac.tz

Saturday, September 1, 2012

CHUO KIKUU CHA ST.JOHN'S CHATOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KWA NGAZI YA CHETI,STASHAHADA NA SHAHADA YA AWALI SELECTED CANDIDATES FOR ADMISSION INTO CERTIFICATE,DIPLOMA AND DEGREE PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2012/13


Hatimaye chuo kikuu cha St. John kimetoa orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga chuoni hapo katika mwaka wa masomo 2012/2013 katika ngazi ya cheti, stashahada na shahada ya awali. 

Kusoma orotha nzima BOFYA hapo chini / To see all the names CLICK the link below


Source: www.sjut.ac.tz

Friday, August 31, 2012

MATOKEO YA MITIHANI (U.E) CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) 
RESULTS OF UNIVERSITY EXAMINATIONS FOR UNDERGRADUATE DEGREE PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2011/2012


The University of Dar es Salaam (UDSM) wishes to inform students whose registration numbers are listed below that they either have been discontinued or are required to do supplementary or special examinations as indicated. They should therefore contact their respective colleges or schools for further information regarding the supplementary/special examinations which are scheduled to begin on September 24, 2012.

All students who do not appear in the list below should consider themselves to have passed.
Note that, this is an extract from ARIS and therefore your ARIS account should have all the details.
To see the list CLICK the link below

Source: www.udsm.ac.tz
MABADILIKO YA GHARAMA ZA MALAZI CHUO KIUU CHA DAR ES SALAAM (REVISION OF ACCOMODATION RENT)


Wanafunzi wote wa chuo kikuu cha Dar es salaam mnaarifiwa kuwa baraza la 211 katika kikao kilichokaa tarehe 27 Agosti 2012 kilipokea na kutafakari mapendekezo ya kupanda kwa gharama za malazi kwa wanafunzi waishio hostel.

Kusoma mapendekezo na gharama mpya za malazi BOFYA hapo chini / To read the new accomodation rent CLICK the link below:


Source: www.udsm.ac.tz

Thursday, August 30, 2012

CHUO KIKUU DODOMA CHATOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOKUWA WAMESIMAMISHWA MASOMO WANAOTAKIWA KUFANYA MITIHANI PAMOJA NA WANAOTAKIWA KUFANYA USAJILI UPYA


To view the names CLICK the links below



Source: www.udom.ac.tz
CHUO CHA MWALIMU NYERERE CHATOA MAJINA YA WALIOCHGULIWA KATIKA AWAMU YA KWANZA NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA KWA MWAKA 2012/2013


The following candidates have been selected to join the Mwalimu Nyerere Memorial Academy for the academic year 2012/2013 which starts on 1st October, 2012. Orientation week starts from 24th to 28th September, 2012 and all selected candidates are required to attend.

To view the names CLICK the link below

Source: www.mnma.ac.tz

Wednesday, August 29, 2012

CHUO CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA(MBEYA INSTITUTE OF SCIENCE AND TECHNOLOGY) CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA HAPO NGAZI YA STASHAHADA KWA MWAKA 2012/13 CHINI YA UDHAMINI BINAFSI PAMOJA NA MABADILIKO YA ADA ZA MASOMO


MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
APPLICANTS SELECTED TO JOIN ORDINARY DIPLOMA UNDER DIRECT ENTRY
PRIVATE SPONSORSHIP

To see the list of selected candidates and change of fee structure CLICK the links below


Source: www.mist.ac.tz
WIZARA YA ELIMU YATOA RIPOTI YA TATHMINI YA UFANISI WA SEKTA YA ELIMU NCHINI PAMOJA NA MPANGO WA MAENDELEO WA SEKTA YA ELIMU


EDUCATION SECTOR PERFORMANCE REPORT 2010/11 
EDUCATION SECTOR DEVELOPMENT PROGRAMME (ESDP)

Kusoma ripoti nzima BOFYA hapo chini / To read the whole report CLICK the link below




Source:www.moe.go.tz

Tuesday, August 28, 2012

CHUO CHA UFUNDI ARUSHA(ARUSHA TECHNICAL COLLEGE-ATC) CHATOA NAFASI ZA MAOMBI YA MASOMO KWA MWAKA 2012/2013


Kupata maelezo zaidi na fomu za maombi BOFYA hapo chini / To get more information and Application form CLICK the link below




Source: www.atc.ac.tz
CHUO CHA SAYANSI ZA TIBA MUHIMBILI CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA NGAZI YA STASHAHADA YA KAWAIDA(DIPLOMA) NA YA JUU(ADVANCED DIPOLOMA) / CANDIDATES SELECTED FOR ADMISSION INTO ADVANCED DIPLOMA AND DIPLOMA PROGRAMMES 2012/2013


The following candidates have been selected to join the Muhimbili University of Health and Allied Sciences in its various Advanced Diploma and Diploma programmes for the academic year 2012/2013. Applicants who accept the offer should report at the University on 30th September, 2012 for orientation. Admission letters and other instructions for admission will be sent to the selected applicants through post or may be collected in person by the respective candidates at MUHAS, Admission Office, in the Third week of September, 2012.
Kusoma majina yote BOFYA hapo chini / CLICK on the link below to see names of selected candidates


  Source: www.muchs.ac.tz

Monday, August 27, 2012

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU MZUMBE/SELECTED CANDIDATES MZUMBE UNIVERSITY



Chuo kikuu Mzumbe kimetoa orotha ya majina ya awamu ya kwanza(First selection) ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga chuoni hapo katika fani mbalimbali ngazi ya shahada ya awali(Undergraduate Studies) kwa mwaka wa masomo 2012/2013. 

Click the link below to see the list



Source: www.mzumbe.ac.tz
TANGAZO MUHIMU KUTOKA TCU


DEADLINE EXTENSION FOR THE SECOND ROUND OF APPLICATION INTO 2012/2013 ADMISSIONS

The Tanzania Commission for Universities (TCU) in Collaboration with National Council for techniocal Education (NACTE) has extended the deadline for the second round of application to 29th August, 2012.


 Source: www.tcu.go.tz

Saturday, August 25, 2012

HABARI MUHIMU KUTOKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM


1. MABADILIKO YA RATIBA/KALENDA YA MWAKA/CHANGES IN THE ALMANAC
Tume ya vyou vikuu nchini TCU imetoa maelekezo kwa taasisi zote za elimu ya juu kutofungua chuo chochote kabla ya tarehe 01 Oktoba 2012
Kusoma maelezo zaidi BOFYA HAPA / CLICK HERE to read full information 



2. UNIVERSITY OF DAR-ES-SALAAM
Press Release

TANGAZO Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinatawangazia wale wote walioomba kujiunga na Chuo hicho kusomea shahada za awali kwa mwaka wa masomo 2012/2013 kuwa majina ya wale waliochaguliwa yapo kwenye tovuti www.udsm.ac.tz. Wanafunzi waliochaguliwa watatakiwa kuwasili chuoni tarehe 1 Oktoba 2012.
 Imetolewa na Prof. Makenya A.H. Maboko Naibu Makamu Mkuu wa Chuo - Taaluma 




3. TANGAZO LA GRADUATION KWA WALIOHITIMU CHUO KIKUU CHA DARE ES SALAAM

UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
MAIN CAMPUS
THE 2012 GRADUATION CEREMONIES



Source: www.udsm.ac.tz
CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM(UDSM) CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUONI HAPO/UNDERGRADUATE ADMISSION UDSM


Chuo kikuu cha Dar es salaam kimetoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga chuoni hapo kwa mwaka mpya wa masomo 2012/2013.

To view the list CLICK the links below / Kusoma majina BOFYA hapo chini




Source: www.udsm.ac.tz

TANGAZO KWA WANAOTAKA KUJIUNGA CHUO KIKUU CHA DSM (UDSM) CHINI YA UDHAMINI BINAFSI (PRIVATE SPONSORSHIP)

Click on the link below to view full information

INVITATION TO APPLY FOR ADMISSION INTO UNDERGRADUATE DEGREE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2012/2013 UNDER PRIVATE SPONSORSHIP

Source: www.udsm.ac.tz

Friday, August 24, 2012

NEWS FROM TCU


TCU informs applicants whose names have been published on TCU website that, they were not selected in all of their choices due to various reasons. TCU considered their qualifications and allocate them accordingly in other programs they qualify other than their preferences.
TCU is hereby inform these applicants that if they are not satisfied with programs they were allocated they are allowed to select other programs of their choice by logging into their profile and enter only one program from a list of slots available on TCU website.


The deadline for application is 27th August 2012. 
Issued by Executive Secretary
TCU




Source: www.tcu.go.tz
TAASISI YA UGAVI NA MANUNUZI(INSTITUTE OF PROCUREMENT AND SUPPLY) YAFUNGUA MILANGO KWA SHAHADA MPYA YA UGAVI NA MANUNUZI

ADMISSIONS 
A candidate shall be deemed eligible for consideration for admission to a programme of the Institute of Procurement and Supply (IPS) if the candidate meet the following minimum qualifications:
BACHELOR DEGREE IN PROCUREMENT AND SUPPLY (BPS)
-A level two principal passes (form six)
-Ordinary Diploma (NTA level 6)

-Any equivalent Diploma recognised by NACTE

-Duration 3yrs
ORDINARY DIPLOMA IN PROCUREMENT AND SUPPLY (DPS)
-A level one principal pass (form six)
-Certificate in P&S (NTA level 4)
-Duration 2yrs
TECHNICIAN CERTIFICATE (NTA LEVEL 4)
-Three (3) passes O-Level
-Certificate NTA level 3 (VETA)
-Any equivalent Certificate
Source: www.ipstz.ac.tz

TANGAZO MUHIMU KUTOKA CHUO KIKUU CHA DODOMA(UDOM) KUHUSU MALIPO YA ADA YA CHUO KWA MWAKA 2012/13

PAYMENT OF TUITION FEES AND DIRECT COSTS:

ALL UDOM STUDENTS (FIRST YEAR AND CONTINUING STUDENTS) ARE REQUIRED TO PAY TUITION FEES AND DIRECT COSTS FOR THE 2011/2012 ACADEMIC YEAR BY 30TH SEPTEMBER 2012.

STUDENTS WHO WILL FAIL TO COMPLY WITH THIS NOTICE WILL NOT BE ALLOWED TO REGISTER FOR 2012/2013 ACADEMIC YEAR,WHICH IS SCHEDULED TO BEGIN ON SECOND WEEK OF OCTOBER 2012.


 Source: www.udom.ac.tz
HABARI NA MATANGAZO MUHIMU KUTOKA CHUO KIKUU CHA SAINT AUGUSTINE (SAUT)-MAIN CAMPUS



1. Job Opportunities 
2. Names of Applicants Selected to Join Postgraduate Studies in
Academic year 2012/2013 - 2ND BATCH

3. Names of Applicants Selected to Join 3 Months
Pre-Entry Programme 2012/2013


Source: www.saut.ac.tz