RESEARCH AD

RESEARCH AD

CLEARING AND FORWADING

CLEARING AND FORWADING

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

THE GUARDIAN LTD

Friday, September 21, 2012

BODI WATOA NJIA RAHISI ZAIDI YA KUTAFUTA JINA KWA WALIOPATA MKOPO

1. Uingiapo utapaswa kuingiza aidha Index Namba yako au Jina mojawapo kati ya unayotumia katika kiboksi cha kwanza kilichoandikwa 'Enter Keyword here'
2. Kisha ingiza maneno ya siri utakayoyaona sehemu ya mbele ya kiboksi cha pili kilichoandikwa 'Enter Security Code as it appears below'
3. Mwisho bonyeza sehemu ya chini iliyoandikwa SEARCH na moja kwa moja utaweza kujionea jina lako

BOFYA HAPA KUINGIA KWENYE NJIA YA KUANGALIA JINA LAKO KIURAHISI ZAIDI
Source: www.heslb.go.tz

No comments: