RESEARCH AD

RESEARCH AD

CLEARING AND FORWADING

CLEARING AND FORWADING

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

THE GUARDIAN LTD

Friday, October 25, 2013MADA ZITAKAZOFUNDISHWA NA KUTAHINIWA MWAKA WA KWANZA WA MASOMO KWA WANACHUO WA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA KUANZIA MWAKA 2013/2014

Ili kutekeleza Waraka wa Elimu namba 3 wa mwaka 2013, Wizara imeainisha mada zitakazofundishwa na kutahiniwa mwaka wa kwanza wa masomo kwa wanachuo wa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada. Kila mkuu wa Chuo, Wakufunzi pamoja na Wanachuo wote wa mwaka wa kwanza wa kila Chuo wanaelekezwa kuzingatia maelekezo hayo ili kufanikisha utekelezaji wa Waraka husika.

icon Mada zitakazofundishwa na kutahiniwa mwaka wa kwanza wa masomo ngazi ya cheti na stashahada (107.03 kB)

No comments: