RESEARCH AD

RESEARCH AD

CLEARING AND FORWADING

CLEARING AND FORWADING

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

THE GUARDIAN LTD

Friday, August 31, 2012

MATOKEO YA MITIHANI (U.E) CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) 
RESULTS OF UNIVERSITY EXAMINATIONS FOR UNDERGRADUATE DEGREE PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2011/2012


The University of Dar es Salaam (UDSM) wishes to inform students whose registration numbers are listed below that they either have been discontinued or are required to do supplementary or special examinations as indicated. They should therefore contact their respective colleges or schools for further information regarding the supplementary/special examinations which are scheduled to begin on September 24, 2012.

All students who do not appear in the list below should consider themselves to have passed.
Note that, this is an extract from ARIS and therefore your ARIS account should have all the details.
To see the list CLICK the link below

Source: www.udsm.ac.tz
MABADILIKO YA GHARAMA ZA MALAZI CHUO KIUU CHA DAR ES SALAAM (REVISION OF ACCOMODATION RENT)


Wanafunzi wote wa chuo kikuu cha Dar es salaam mnaarifiwa kuwa baraza la 211 katika kikao kilichokaa tarehe 27 Agosti 2012 kilipokea na kutafakari mapendekezo ya kupanda kwa gharama za malazi kwa wanafunzi waishio hostel.

Kusoma mapendekezo na gharama mpya za malazi BOFYA hapo chini / To read the new accomodation rent CLICK the link below:


Source: www.udsm.ac.tz

Thursday, August 30, 2012

CHUO KIKUU DODOMA CHATOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOKUWA WAMESIMAMISHWA MASOMO WANAOTAKIWA KUFANYA MITIHANI PAMOJA NA WANAOTAKIWA KUFANYA USAJILI UPYA


To view the names CLICK the links below



Source: www.udom.ac.tz
CHUO CHA MWALIMU NYERERE CHATOA MAJINA YA WALIOCHGULIWA KATIKA AWAMU YA KWANZA NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA KWA MWAKA 2012/2013


The following candidates have been selected to join the Mwalimu Nyerere Memorial Academy for the academic year 2012/2013 which starts on 1st October, 2012. Orientation week starts from 24th to 28th September, 2012 and all selected candidates are required to attend.

To view the names CLICK the link below

Source: www.mnma.ac.tz

Wednesday, August 29, 2012

CHUO CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA(MBEYA INSTITUTE OF SCIENCE AND TECHNOLOGY) CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA HAPO NGAZI YA STASHAHADA KWA MWAKA 2012/13 CHINI YA UDHAMINI BINAFSI PAMOJA NA MABADILIKO YA ADA ZA MASOMO


MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
APPLICANTS SELECTED TO JOIN ORDINARY DIPLOMA UNDER DIRECT ENTRY
PRIVATE SPONSORSHIP

To see the list of selected candidates and change of fee structure CLICK the links below


Source: www.mist.ac.tz
WIZARA YA ELIMU YATOA RIPOTI YA TATHMINI YA UFANISI WA SEKTA YA ELIMU NCHINI PAMOJA NA MPANGO WA MAENDELEO WA SEKTA YA ELIMU


EDUCATION SECTOR PERFORMANCE REPORT 2010/11 
EDUCATION SECTOR DEVELOPMENT PROGRAMME (ESDP)

Kusoma ripoti nzima BOFYA hapo chini / To read the whole report CLICK the link below




Source:www.moe.go.tz

Tuesday, August 28, 2012

CHUO CHA UFUNDI ARUSHA(ARUSHA TECHNICAL COLLEGE-ATC) CHATOA NAFASI ZA MAOMBI YA MASOMO KWA MWAKA 2012/2013


Kupata maelezo zaidi na fomu za maombi BOFYA hapo chini / To get more information and Application form CLICK the link below




Source: www.atc.ac.tz
CHUO CHA SAYANSI ZA TIBA MUHIMBILI CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA NGAZI YA STASHAHADA YA KAWAIDA(DIPLOMA) NA YA JUU(ADVANCED DIPOLOMA) / CANDIDATES SELECTED FOR ADMISSION INTO ADVANCED DIPLOMA AND DIPLOMA PROGRAMMES 2012/2013


The following candidates have been selected to join the Muhimbili University of Health and Allied Sciences in its various Advanced Diploma and Diploma programmes for the academic year 2012/2013. Applicants who accept the offer should report at the University on 30th September, 2012 for orientation. Admission letters and other instructions for admission will be sent to the selected applicants through post or may be collected in person by the respective candidates at MUHAS, Admission Office, in the Third week of September, 2012.
Kusoma majina yote BOFYA hapo chini / CLICK on the link below to see names of selected candidates


  Source: www.muchs.ac.tz

Monday, August 27, 2012

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU MZUMBE/SELECTED CANDIDATES MZUMBE UNIVERSITY



Chuo kikuu Mzumbe kimetoa orotha ya majina ya awamu ya kwanza(First selection) ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga chuoni hapo katika fani mbalimbali ngazi ya shahada ya awali(Undergraduate Studies) kwa mwaka wa masomo 2012/2013. 

Click the link below to see the list



Source: www.mzumbe.ac.tz
TANGAZO MUHIMU KUTOKA TCU


DEADLINE EXTENSION FOR THE SECOND ROUND OF APPLICATION INTO 2012/2013 ADMISSIONS

The Tanzania Commission for Universities (TCU) in Collaboration with National Council for techniocal Education (NACTE) has extended the deadline for the second round of application to 29th August, 2012.


 Source: www.tcu.go.tz

Saturday, August 25, 2012

HABARI MUHIMU KUTOKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM


1. MABADILIKO YA RATIBA/KALENDA YA MWAKA/CHANGES IN THE ALMANAC
Tume ya vyou vikuu nchini TCU imetoa maelekezo kwa taasisi zote za elimu ya juu kutofungua chuo chochote kabla ya tarehe 01 Oktoba 2012
Kusoma maelezo zaidi BOFYA HAPA / CLICK HERE to read full information 



2. UNIVERSITY OF DAR-ES-SALAAM
Press Release

TANGAZO Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinatawangazia wale wote walioomba kujiunga na Chuo hicho kusomea shahada za awali kwa mwaka wa masomo 2012/2013 kuwa majina ya wale waliochaguliwa yapo kwenye tovuti www.udsm.ac.tz. Wanafunzi waliochaguliwa watatakiwa kuwasili chuoni tarehe 1 Oktoba 2012.
 Imetolewa na Prof. Makenya A.H. Maboko Naibu Makamu Mkuu wa Chuo - Taaluma 




3. TANGAZO LA GRADUATION KWA WALIOHITIMU CHUO KIKUU CHA DARE ES SALAAM

UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
MAIN CAMPUS
THE 2012 GRADUATION CEREMONIES



Source: www.udsm.ac.tz
CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM(UDSM) CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUONI HAPO/UNDERGRADUATE ADMISSION UDSM


Chuo kikuu cha Dar es salaam kimetoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga chuoni hapo kwa mwaka mpya wa masomo 2012/2013.

To view the list CLICK the links below / Kusoma majina BOFYA hapo chini




Source: www.udsm.ac.tz

TANGAZO KWA WANAOTAKA KUJIUNGA CHUO KIKUU CHA DSM (UDSM) CHINI YA UDHAMINI BINAFSI (PRIVATE SPONSORSHIP)

Click on the link below to view full information

INVITATION TO APPLY FOR ADMISSION INTO UNDERGRADUATE DEGREE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2012/2013 UNDER PRIVATE SPONSORSHIP

Source: www.udsm.ac.tz

Friday, August 24, 2012

NEWS FROM TCU


TCU informs applicants whose names have been published on TCU website that, they were not selected in all of their choices due to various reasons. TCU considered their qualifications and allocate them accordingly in other programs they qualify other than their preferences.
TCU is hereby inform these applicants that if they are not satisfied with programs they were allocated they are allowed to select other programs of their choice by logging into their profile and enter only one program from a list of slots available on TCU website.


The deadline for application is 27th August 2012. 
Issued by Executive Secretary
TCU




Source: www.tcu.go.tz
TAASISI YA UGAVI NA MANUNUZI(INSTITUTE OF PROCUREMENT AND SUPPLY) YAFUNGUA MILANGO KWA SHAHADA MPYA YA UGAVI NA MANUNUZI

ADMISSIONS 
A candidate shall be deemed eligible for consideration for admission to a programme of the Institute of Procurement and Supply (IPS) if the candidate meet the following minimum qualifications:
BACHELOR DEGREE IN PROCUREMENT AND SUPPLY (BPS)
-A level two principal passes (form six)
-Ordinary Diploma (NTA level 6)

-Any equivalent Diploma recognised by NACTE

-Duration 3yrs
ORDINARY DIPLOMA IN PROCUREMENT AND SUPPLY (DPS)
-A level one principal pass (form six)
-Certificate in P&S (NTA level 4)
-Duration 2yrs
TECHNICIAN CERTIFICATE (NTA LEVEL 4)
-Three (3) passes O-Level
-Certificate NTA level 3 (VETA)
-Any equivalent Certificate
Source: www.ipstz.ac.tz

TANGAZO MUHIMU KUTOKA CHUO KIKUU CHA DODOMA(UDOM) KUHUSU MALIPO YA ADA YA CHUO KWA MWAKA 2012/13

PAYMENT OF TUITION FEES AND DIRECT COSTS:

ALL UDOM STUDENTS (FIRST YEAR AND CONTINUING STUDENTS) ARE REQUIRED TO PAY TUITION FEES AND DIRECT COSTS FOR THE 2011/2012 ACADEMIC YEAR BY 30TH SEPTEMBER 2012.

STUDENTS WHO WILL FAIL TO COMPLY WITH THIS NOTICE WILL NOT BE ALLOWED TO REGISTER FOR 2012/2013 ACADEMIC YEAR,WHICH IS SCHEDULED TO BEGIN ON SECOND WEEK OF OCTOBER 2012.


 Source: www.udom.ac.tz
HABARI NA MATANGAZO MUHIMU KUTOKA CHUO KIKUU CHA SAINT AUGUSTINE (SAUT)-MAIN CAMPUS



1. Job Opportunities 
2. Names of Applicants Selected to Join Postgraduate Studies in
Academic year 2012/2013 - 2ND BATCH

3. Names of Applicants Selected to Join 3 Months
Pre-Entry Programme 2012/2013


Source: www.saut.ac.tz

Thursday, August 23, 2012

TANGAZO MUHIMU KUTOKA TUME YA VYUO VIKUU NCHINI(TCU)

TCU imetoa nafasi ya awamu ya pili ya maombi kwa wanafunzi ambao walishindwa kutuma maombi yao au ambao hawakuchaguliwa katika awamu ya kwanza iliyotolewa


The second round for the admission into Central Admission System is officially opened from 13th August, 2012 to 25th August,2012.Those who did not apply or could not be admitted during first round are advised to make application by clicking the button labeled "Application 2nd round".

For more details please visit www.tcu.go.tz


Source: www.tcu.go.tz  
CHUO KIKUU CHA TIBA NA TECHNOLOJIA-IMTU CHATANGAZA NAFASI ZA MAOMBI YA MASOMO KWA MWAKA 2012/13

Applications are hereby invited from qualified candidates for Undergraduate and Postgraduate degree Programmes, Diploma and Certificate of Health Sciences (previously called Premedical Certificate Course), for the academic year 2012/2013 which begins on October 1, 2012. 

ALL “A” LEVEL APPLICANTS WITH DIRECT ENTRY QUALIFICATIONS SHOULD APPLY THROUGH THE TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES (TCU), USING THE CENTRALIZED ADMISSION SYSTEM (CAS) WHICH CAN BE DOWNLOADED FROM THEIR WEBSITE http://www.tcu.go.tz. HOWEVER, ALL APPLICANTS WITH EQUIVALENT ENTRY QUALIFICATIONS, AND THOSE APPLYING FOR POSTGRADUATE DEGREE PROGRAMMES AND NON-DEGREE COURSES SHOULD APPLY DIRECTLY TO THE UNIVERSITY.
Source: www.imtu.ac.tz
CHUO KIKUU CHA ARTHI (ARTHI UNIVERSITY) CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA HAPO KATIKA FANI NA NGAZI MBALIMBALI KWA MWAKA 2012/13


CLICK THE BELOW LINKS TO VIEW THE NAMES

1. Selected Undergraduate Students for Academic Year 2012/13

2. Postgraduate Selected Students for Academic Year 2012/13

Source: www.aru.ac.tz
KUITWA KWENYE USAILI


Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mkuu wa Chuo,Chuo Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCoBS), anatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi, waombaji watakaofaulu usaili.

BOFYA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Source: www.muccobs.ac.tz
Prof R. MUKANDARA:WANAFUNZI WENGI WA KITANZANIA HUKIMBIA SOMO LA HESABU WAFIKAPO VYUO VYA ELIMU YA JUU

Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es salaam Prof Rwakaza Mukandara
Tanzania ina wanafunzi wengi wenye uwezo mkubwa katika somo la Hisabati wawapo katinga ngazi ya shule za msingi na sekondari lakini hupotea kabisa pindi wafikapo katika masomo ya elimu ya juu.Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es salaam Prof Rwekaza Mukandara alieleza kuwa wanafunzi wengi wafikapo elimu ya juu huachana na fani za hesabu na sayansi na kuchagua fani za sanaa na biashara ili watakapohitimu wapate soko la ajira lenye faida."Wengi wamekuwa wakiamini kuwa hesabu haiwezi kuwahakikishia ajira wanapomaliza chuo kwahiyo hubadili pindi wajiungapo na masomo ya elimu ya juu" alisema Profesa Mukandara katika mkutano wa Africa Mashariki juu ya Programu ya Hesabu (East Africa Universities Mathematics Programme (EAUMP) Conference) uliofanyika katika Taasisi ya Sayansi na Technolojia ya Nelson Mandela.

Wednesday, August 22, 2012

CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA CHATANGAZA KOZI MAALUM YA MAFUNZO YA KOMPYUTA KWA UTUMISHI WA UMMA

Click the link below to view the course description


Source:www.tpsc.go.tz
CHUO KIKUU CHA MOUNT MERU CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO KWA MWAKA 2012/13


1. Admitted Applicants into MMU Masters Programs 2012-2013

2.Admitted applicants in to various MMU Undergraduate Programs
(FIRST SELECTION)

MAIN CAMPUS ARUSHA

MWANZA

ARUSHA CAMPUS



IMPORTANT

Prospective applicants for admission into Bachelor’s degree programs are advised to read and familiarize themselves with the content of TCU’s public notices on this matter at the following links:



Source: www.mmu.ac.tz



NAFASI ZA UZAMINI (SCHOLARSHIPS) KUSOMA NCHINI UJERUMANI

Tanzania-Germany Postgraduate Training Program-2012 Cycle

The Tanzania Commission for Universities (TCU) is pleased to announce the second round of the 2012 Cycle for PhD scholarships under the Tanzania - Germany Postgraduate Training Program. This training program which is funded jointly under the Tanzanian Government through the Ministry of Education and Vocational Training and the German Academic Exchange Services (DAAD), aims in particular, to impact on capacity-building in public Universities in Tanzania through staff development. The program awards scholarships to candidates who qualify to undertake PhD studies in Germany.
CHUO CHA UDAKTARI NA TIBA MUHIMBILI CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KWA NGAZI YA POSTGRADUATE

Click the link below to view the names of selected candidates

SELECTED APPLICANTS FOR POSTGRADUATE PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2012/2013

www.muhas.ac.tz
DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (D.I.T) YATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA FANI MBALIMBALI KWA MWAKA 2012/13


































Click the link below to view the names

CANDIDATES SELECTED TO JOIN ORDINARY DIPLOMA IN ENGINEERING OR CERTIFICATE IN INFORMATION TECHNOLOGY PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2012/2013

Source: www.dit.ac.tz

Tuesday, August 21, 2012

CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA HAPO NGAZI YA SHAHADA KWA MWAKA 2012/13

Click on the link below to get the list of selected applicants


Source: www.udom.ac.tz
HABARI MPYA KUTOKA SAINT AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA (SAUT)

1. LIST OF APPLICANTS SELECTED TO JOIN VARIOUS PROGRAMMESFOR ACADEMIC YEAR 20012/2013

2. JOINING INSTRUCTIONS FOR UNDERGRADUATE STUDENTS SELECTEDTO JOIN SAUT MAIN CAMPUS MWANZA FOR THE 2012/2013ACADEMIC YEAR

3. FEE STRUCTURE FOR SELECTED STUDENTS FOR ACADEMIC YEAR 2012/13

Source: www.saut.ac.tz
HABARI MUHIMU KUTOKA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA


1. ADMISSION TO UNDERGRADUATE STUDIES, DIPLOMAS, CERTIFICATES AND POSTGRADUATE STUDIES FOR THE ACADEMIC YEAR 2012/2013



2. Students Admitted into Various Undergraduate degree and Non- degreeProgrammes

Source:www.out.ac.tz
KITIVO CHA KOMPYUTA UDSM (UCC) CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA(Certificate & Diploma in Computing and Information Technology Programmes)


Students Selected for Certificate & Diploma in Computing and Information Technology Programmes for year 2012/13 
The following candidates have been selected into Certificate & Diploma in Computing and Information Technology Programmes of the University of Dar es salaam Computing Centre for July  2012/13 Academic Year.


Successful candidates residing in Dar es Salaam are advised to collect their admission letters from UCC-City Centre Branch-CRDB Building-Azikiwe Street at tenth floor (10th Floor), opposite “POSTA MPYA” after the appearance of this announcement. Letters for candidates applied from other branches could be collected from the respective branches.

Source: http://www.ucc.co.tz
UDSM WATOA ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KOZI ZA 'POSTGRADUATES' KWA MWAKA 2012/13




Selections for Postgraduate Courses for 2012/13.

www.udsm.ac.tz 

Friday, August 17, 2012

HABARI MUHIMU KUTOKA TCU:
TUME YA VYUO VIKUU TZ (TCU) YATOA MAJINA YA WANAFUNZI AMBAO HAWAKUCHAGULIWA KATIKA AWAMU YA KWANZA



APPLICANTS WHO WERE NOT SELECTED IN THE 2012-2013 ADMISSIONS


 Applicants into the first round of applications for 2012-2013 admissions who were not selected due to various reasons are required to re-apply in the second round of applications.

PLEASE NOTE:
Applicants who are supposed to re-apply are not required to pay another application fee instead they will only be required to choose another program by logging into their accounts.

Please click here to view the list...


PROGRAMMES WITH AVAILABLE SLOTS FOR SECOND ROUND OF APPLICATION INTO 2012/2013 ADMISSIONS


 Please click here to view the available slots...

Source:www.tcu.ac.tz


CHUO KIKUU CHA ST. JOHN CHATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA SHAHADA YA PILI (MASTERS PROGRAM) MWAKA 2012/13

To view the names of selected candidates click the link below

Selected Candidates to join Masters Program 2012/2013


Source: www.sjut.ac.tz

Thursday, August 16, 2012

TAARIFA MUHIMU KUTOKA CHUO CHA ADEM-BAGAMOYO

TANGAZO : Mtendaji Mkuu(ADEM) anawaarifu wanafunzi wote wa mwaka wa Kwanza na wa Pili(DEMA) kuwa,tarehe ya kuanza Muhula wa Kwanza wa masomo 2012/2013 imesogezwa kutoka tarehe 5/8/2012 hadi tarehe 2/9/2012

SELECTED STUDENTS TO JOIN DIPLOMA IN EDUCATION MANAGEMENT AND ADMINISTRATION(DEMA) FOR THE ACADEMIC YEAR
2012-2013


Source: http://www.ademtz.com


Wednesday, August 15, 2012

BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU(HESLB) YATOA TANGAZO RASMI JUU YA WENYE MATATIZO KWENYE FOMU ZAO ZA MAOMBI YA MKOPO

NOTICE TO 2012/13 LOAN APPLICANTS
During the exercise of processing 2012/13 loan application forms the Board has identified loan applications which are missing some vital information. Therefore the Board would like to inform these students that such incomplete applications will not be considered. 

Loan applicants from this group shall be required to come to the Board to collect their incomplete forms, go, update and return them to the Board. No loan shall be allocated to such student before returning the updated application form. Applicants who have not signed their documents are required to report to HESLB offices at Tirdo Complex, Kimweri Road, Msasani- Dar es Salaam for further details.

Applicants who have not attached (to their application forms) guarantor’s particulars such as photocopy of Passport or voter’s registration card or passport size photograph should send the missing particulars to the Board with a covering letter indicating their full names and form four index numbers through the following address:

The Executive Director
Higher Education Students’ Loans Board
P. O. Box 76068
DAR ES SALAAM.
N:B:
The Board is providing a period of two weeks starting 15th August, 2012 to correct the shortcomings.
All documents must be certified by a Commissioner of Oaths.

Tuesday, August 14, 2012

TAARIFA KUTOKA TUME YA VYUO VIKUU NCHINI (TCU

1.TCU YATANGAZA NAFASI ZA MAOMBI KWA AWAMU YA PILI(SECOND SELECTION)

Announcement to the prospective applicants on the second round of application.
Tanzania Commission for Universities (TCU) informs all prospective applicants that, applications for admission into higher learning institutions for the second round of application, will start on 13th August 2012. The second round of application will involve:

a)New applicants (Form 6, Teachers, FTC, NTA Level 6 and applicants with foreign certificates) who did not have the opportunity to apply during the first round of application; or
b)Applicants who were not selected during the first round of application due to various reasons and whose names will be published on the TCU website or have been notified through their individual accounts of this fact.

NOTE:
i) Applicants who applied but for some reasons they were not selected, are not required to pay another application fee instead they will only be required to choose another program by logging into their accounts.
ii)The list of applicants who were not selected and hence are required to re-apply will be on TCU website on Tuesday 14th August 2012.
How to apply

Applicants will apply through the Central Admissions System and applications will be treated on the first-come first-served basis this means the applicant is required to choose only one program he/she qualifies basing on program requirements given in the ‘Students Guidebook’ available on TCU website. Each programme is tied to an institution and that means the process involves one programme at a particular institution only.
Application fee for new applicants
·       Tanzanians will be required to pay an application a non-refundable fee of TSHS.30,000/- payable through NBC branches country wide,
·       Non-Tanzanians will be required to pay US$60 through CAS Account at any NBC bank countrywide (TCU-CAS Acc. No.074139000021), and
·       Non-Tanzanians residing outside Tanzania will be required to pay US$60 through CAS account number (TCU-CAS Acc.No.074139000021). The swift code: NLCBTZTX.
Deadline for application 
The deadline for applications for all categories will be on 25rd August 2012.

Issued by:
Executive Secretary
TCU

12th August 2012


2.TCU YATOA MAJINA YA WANAFUNZI AMBAO TAARIFA ZAO ZA MAOMBI YA CHUO HAZIJAJITOSHELEZA

APPLICANTS WITH MISSING INFORMATION INTO THE 2012/2013 ADMISSIONS THROUGH CENTRAL ADMISSION SYSTEM 
The following applicants should LOGIN to their profiles and add the missing information.
Example: 1. O level Index number and year of completion; 2. A level Index number and year of completion; 3. Contact information e.g. Mobile phone number, email address and postal address; 4. Programme selected

Please click here to view the list....

THE DEADLINE IS 12th AUGUST 2012

FOR THOSE WHO CAN NOT ACCESS THEIR ACCOUNTS PLEASE CONTACT TCU


Source: www.tcu.go.tz
UCHAMBUZI WA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI 2012/2013


1. MIKOPO YA ELIMU YA JUU
Idadi ya wanafunzi waliopata mikopo kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imeongezeka kutoka wanafunzi 91,568 mwaka 2010/11 hadi wanafunzi 93,176, mwaka 2011/12.

2. ONGEZEKO LA VYUO VIKUU NCHINI
Vyuo Vikuu vitatu (3) vilianzishwa ambavyo ni: Eckenford Tanga University, Jomo Kenyatta University of Agriculture na University of Bagamoyo; na Vyuo Vikuu vishiriki vitatu (3) vilianzishwa ambavyo ni: Jordan University College; St. Francis University College of Health and Allied Sciences; na St Joseph College of Engineering and Technology.

3. ONGEZEKO LA UDAHILI WA WANAFUNZI-NGAZI YA SHAHADA
Wizara ilifanikiwa kuongeza udahili wa wanafunzi katika vyuo vya Elimu ya Juu kutoka wanafunzi 139,638 (wanawake 49,959) mwaka 2010/11 hadi wanafunzi 166,484 (wanawake 60,592) mwaka 2011/12. Hili ni ongezeko la asilimia 19. Aidha, idadi ya wanafunzi madaktari wa binadamu, meno na tiba ya mifugo iliongezeka kutoka 1,750 mwaka 2010/11 hadi 1,900 mwaka 2011/12.

4. ONGEZEKO LA UDAHILI WA WANAFUNZI-NGAZI YACHETI NA STASHAHADA
Wizara ilidahili jumla ya wanachuo 37,698 katika ngazi ya Cheti na Stashahada. Hili ni ongezeko la asilimia 2.9 ukilinganisha na idadi ya wanachuo 36,648 waliodahiliwa mwaka 2010/11 ambapo, walimu 292 kati ya hawa ni wa fani ya Elimu ya Michezo.

5. MAFANIKIO YALIYOPATIKANA
(a) Udahili katika Vyuo vya Ufundi Stadi na Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi vinavyotoa elimu na mafunzo ya ufundi stadi uliongezeka kutoka 102,217 (wanawake 50,190) mwaka 2010 hadi 121,348 (wanawake 56,849) mwaka 2011, ambalo ni ongezeko la asilimia 27; Vyuo vya Elimu ya Ufundi (Technical Education and Training) vilivyosajiliwa viliongezeka kutoka 224 mwaka 2010 hadi kufikia Vyuo 260 mwaka 2012.

(b) Udahili wa wanachuo katika Vyuo vya Ualimu vya Serikali na visivyo vya Serikali uliongezeka kutoka wanachuo 36,648 (wanawake 16,597) mwaka 2010 hadi 43,258 (wanawake 18,898) mwaka 2012.

(c) Idadi ya Vyuo Vikuu iliongezeka kutoka 34 mwaka 2010 hadi 46 mwaka 2012; na udahili wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu uliongezeka kutoka wanafunzi 139,638 (wanawake 87,778) mwaka 2010/11 hadi kufikia 166,484 (wanawake 60,592) mwaka 2011/12.

(d) Idadi ya wanafunzi waliopatiwa mikopo kwa ajili ya Elimu ya Juu iliongezeka kutoka 91,568 mwaka 2010/11 hadi kufikia 93,176 Mwaka 2011/12; Aidha, Wizara ilianza mfumo wa kupokea maombi ya mikopo kwa njia ya mtandao (Online Loan Application System – OLAS).


Source: Hotuba ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi 2012/2013
HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI MH. DKT. SHUKURU KAWAMBWA KWA MWAKA 2012/2013



Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi

HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI MH. DKT. SHUKURU KAWAMBWA(MB) 2012/2013 AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2012/2013


Source: www.moe.go.tz

Monday, August 13, 2012

BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU (HESLB) YATOA MAJINA YA WANAFUNZI WA SHAHADA YA KWANZA(UNDERGRADUATES) WENYE MATATIZO KATIKA FOMU ZAO ZA MAOMBI YA MKOPO

Under Graduate Applicants with Single Form Problems
List 1

 Source:www.heslb.go.tz

Saturday, August 11, 2012

HABARI MPYA KUTOKA CHUO KIKUU CHA IFM




























-Hostel Allocation for Certificate and Diploma Students    (2012/2013) 1st Selection and 2nd Selection
-Hostel Applications for Certificate and Diploma Advertisement and Hostel Application Form

-2nd Selection and 1st Selection for various Basic Certificate and Ordinary Diploma Courses -    2012/2013

Source: www.ifm.ac.tz 
BODI YA MIKOPO YATANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI WA MAFUNZO YA POSTGRADUATE WENYE MATATIZO KATIKA FOMU ZAO ZA MAOMBI WALIZOJAZA AWALI




Postgraduate Applicants with Application Form Problems (2012/2013) 


Source: www.heslb.go.tz

Thursday, August 9, 2012

CHUO CHA UHASIBU ARUSHA CHATANGAZA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO HICHO KATIKA FANI MBALIMBALI KWA MWAKA WA MASOMO 2012/2013

The following candidates have been selected to join various programmes offered by the Institute of Accountancy Arusha for the 2012/2013 academic year.  The candidates are required to carefully read the admission information given below:

1.    Arrival
Candidates should report at the Institute on Monday, 1st October, 2012 for orientation week. Candidates reporting after 12th October, 2012 will not be registered.

For Masters Programmes Arusha Campus, orientation and registration will start on Monday, 24th September, 2012; and for Dar Campus, orientation and registration will start on 1st October, 2012.
Applicants who have been selected to join the certificate programmes are required to attend a 4 week bridging course which will starts on 3rd September, 2012.
2.    Classes
Classes begin on Monday, 8th October, 2012.
3.    Required Documents
All selected candidates must bring with them originals and two copies of their school leaving and academic certificates, a duly filled medical examination form, birth certificate, three identical colored passport size photographs and other documents relevant to their registration.
4.    Admission Letters

Admission Letters and Joining Instructions will be mailed through your respective addresses.  Selected candidates are required to pay relevant fees in advance before joining the Institute.  To expedite the process candidates may collect their letters from the Institute’s Admissions Office.


CERTIFICATES PROGRAMMES

BTCPLM
ORDINARY  PROGRAMMES

ODCS, ODBM, & ODPLM
POSTGRADUATE DIPLOMA PROGRAMMES

MASTERS PROGRAMES

Source: www.iaa.ac.tz

Tuesday, August 7, 2012

WIZARA YA ELIMU YATOA ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA MWAKA WA MASOMO 2012/2013 


Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Mhe. Dr Shukuru Kawambwa

MAELEKEZO MUHIMU KWA MWOMBAJI
Waombaji waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya Stashahada katika mwaka wa masomo 2012/13 wanatakiwa kuripoti katika vyuo walivyopangiwa tarehe 12/08/2012.
Kwa wale watakaochelewa kupata barua za maelekezo (Joining instruction) kutoka vyuoni wanatakiwa waripoti vyuoni katika tarehe iliyopangwa bila kukosa.
Wanafunzi wanatakiwa kufika vyuoni wakiwa na mahitaji yafuatayo:
1.Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania Kidato cha NNE na SITA kulingana na kozi husika.
2. Ada kwa mwaka ni shilingi 200,000/=. (Muhula wa kwanza shilingi 100,000/= na muhula wa pili shilingi 100,000/=).
3.Sare ya Chuo kulingana na maelekezo ya chuo husika na
4. Fedha kwa matumizi binafsi.
Aidha, kila Mkuu wa Chuo anatakiwa kuhakikisha wanafunzi wanaosajiliwa chuoni ni wale waliopo kwenye orodha hii tu na si vinginevyo


Source: www.moe.go.tz