Pages

Wednesday, September 12, 2012

RAIS KIKWETE AZINDUA CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA,KUNDUCHI JIJINI DAR ES SALAAM


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi Chuo cha UIinzi (National Defence College) leo Septemba 10, 2012 Kunduchi jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange na kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo hicho, Meja Jenerali Charles Makalala na kushoto kabisa ni aBalozi wa China nchini Tanzania Mhe. Lu Younqing.























No comments:

Post a Comment